nijuze's Latest Posts

VYUO Kufunguliwa 17 November 2025

Filed in Elimu by on 08.11.2025 0 Comments
VYUO Kufunguliwa 17 November 2025

VYUO Kufunguliwa 17 November 2025 Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, Serikali hatimaye imetangaza tarehe mpya ya kurejea vyuoni kwa wanafunzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliyotolewa leo Novemba 8, 2025, vyuo vyote vya umma na binafsi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 08.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025 Watu 95 wamepandishwa kizimbani jioni ya leo tarehe 7 November 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo uhaini. Washtakiwa hao wanafanya jumla ya watu waliofikishwa mahakamani hapo kwa siku ya leo ambao wanakabiliwa na kesi za uhaini kuwa 240 ikiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Said Salim Bakhresa

Filed in Ajira by on 08.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Said Salim Bakhresa

NAFASI Za Kazi Said Salim BakhresaNAFASI Za Kazi Said Salim Bakhresa ✅Position: Senior Cost Accountant & Inventory Control Location: Dar es salaam, Tanzania. We are looking for an experienced finance/accounting professional with strong expertise in costing, inventory control, and ERP systems to join our dynamic team at Said Salim Bakhresa & Co. Ltd Key Responsibilities Handle […]

Continue Reading »

RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute

Filed in Ajira by on 07.11.2025 0 Comments
RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute

RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute) RATIBA MPYA YA USAILI WA TAASISI YA UONGOZI (UONGOZI INSTITUTE) Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili katika Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) tarehe 01 Novemba hadi tarehe 08 Novemba, 2025 kuwa usaili huo sasa utafanyika kwa tarehe […]

Continue Reading »

WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026

Filed in Elimu by on 07.11.2025 0 Comments
WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026

WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7,2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na wanafunzi 1,179 wa stashahada waliopangiwa mikopo kiasi […]

Continue Reading »

SIPA Loan Allocation Status

Filed in Elimu by on 07.11.2025 0 Comments
SIPA Loan Allocation Status

SIPA Loan Allocation Status, Mfumo wa Maombi ya Mkopo OLAMS SIPA Login HESLB. Student’s Individual Permanent Account (SIPA) is the personal account for the higher education loan application for the students who need to join various universities in Tanzania. The government of Tanzania use to provide loans to the students who admitted to join different […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 07 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 07.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 07 October 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 07 October 2025 LINK MPYA INAYOFUNGUKA HARAKA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 MIKOA YOTE

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania

Filed in Ajira by on 07.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania

NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania Compassion International Tanzania ni shirika la maendeleo ya imani linalofanya kazi na makanisa mahalia kuwakomboa watoto kutoka kwenye umaskini Compassion Tanzania linalenga hasa kutoa maji safi na kuchimba visima kaskazini mwa Tanzania. Shirika la Compassion International Tanzania ndilo shirika kubwa lenye mwelekeo mpana zaidi katika ukuaji wa mtoto. Shirika […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Precision Air Tanzania

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Precision Air Tanzania

NAFASI Za Kazi Precision Air Tanzania Precision Air Services Plc maarufu Precision Air ni shirika la ndege la Tanzania lenye makazi yake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Shirika hilo la ndege huendesha huduma za abiria zilizopangwa hadi Nairobi na Comoro na kwa viwanja vya ndege na viwanja […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi BioBuu Tanzania

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi BioBuu Tanzania

NAFASI Za Kazi BioBuu Tanzania BioBuu ni mtoaji Mkuu wa Suluhisho za Kilimo aliyejitolea kuwawezesha wakulima na kuboresha michakato ya kilimo. BioBuu ana utaalam katika kutumia teknolojia ya kisasa na maendeleo ya kisayansi ili kuongeza tija na uendelevu wa shamba. BioBuu anatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki tajwa kujaza nafasi zilizo wazi. Nafasi […]

Continue Reading »