nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi EFTA Tanzania

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi EFTA Tanzania

NAFASI Za Kazi EFTA Tanzania Equity for Tanzania Limited (EFTA) ni Kampuni inayoongoza kwa mikopo ya mashine na magari bila dhamana. Kampuni hiyo inatafuta Investment Officer Intern katika ofisi zeke za Mbeya | Arusha | Dodoma | Mwanza. Mwombaji anatakiwa kuwa na Sifa zifuatazo: Shahada kutoka chuo kinachotambulika Uelewa wa msingi wa fedha, biashara na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyang`hwale anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. Nafasi 4 Mpya Za Kazi Kutoka […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kutoka Chato District Council

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kutoka Chato District Council

NAFASI Za Kazi Kutoka Chato District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Chato anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. Nafasi 6 Mpya Za Kazi Kutoka […]

Continue Reading »

NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania

NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 88 (1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake. Kwa msingi huo, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Songea District Council

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Songea District Council

NAFASI Za Kazi Songea District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Songea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (09) katika Halmashauri hiyo baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilimanjaro Christian Medical Center

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilimanjaro Christian Medical Center

NAFASI Za Kazi Kilimanjaro Christian Medical Center Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) ni hospitali ya rufaa kwa zaidi ya watu milioni 11 ambayo iko chini ya Mlima Kilimanjaro, Tanzania. Kilimanjaro Christian Medical Center ilianzishwa Machi 1971 na Wakfu wa Msamaria Mwema, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Hospitali hiyo ina eneo kubwa lenye vitanda 674, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 06.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025 MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’. Gamondi alitangazwa kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya mkataba wa Hemed Suleiman ‘Morocco’ kusitishwa. Habari kutoka chanzo […]

Continue Reading »

MATOKEO Darasa la Saba 2025

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO Darasa la Saba 2025

MATOKEO Darasa la Saba 2025 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mitihani wa Darasa la Saba uliofanyika kuanzia Septemba 10, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano Novemba 5, 2023, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Ally Mohamed. Jumla ya watahiniwa 1,172,279 walishiriki katika mtihani huo, ambapo wavulana walikuwa 535,138 sawa na […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Simiyu

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Simiyu

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Simiyu Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Simiyu. Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Simiyu tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 SIMIYU

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Songwe

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Songwe

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Songwe Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Songwe. Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Songwe tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 SONGWE

Continue Reading »