nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council Kwa madhumuni ya Uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6(6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025. […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mlimba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mlimba District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mlimba District Council Kwa madhumuni ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka, 2025 na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024, kikisomwa Pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mkalama District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mkalama District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mkalama District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College

NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) ni Chuo Maalumu cha Tumaini University Makumira (TUMA). Chuo Kikuu hicho kina makao yake makuu katika Kijiji cha Masoka, kilomita 14 kaskazini mwa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. SMMUCo inakusudia kurejesha udahili wa wanafunzi katika mwaka ujao wa masomo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania

NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania Sokabet ni jukwaa bora zaidi la kasino mtandaoni na kamari ya michezo nchini Tanzania. Pata uwezekano bora wa kamari wa kandanda na michezo bora ya kasino mtandaoni kwenye tovuti na programu. Kampuni hiyo ya Kubashiri nchini Tanzania inatafuta watu wenye, nia ari Pamoja na Sifa tajwa hapa chini kujaza nafasi […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council Orodha ya watendaji wa vituo walioteuliwa kusimamia uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge, na Madiwani wa mwaka 2025 katika jimbo la Ilemela. DONWLOAD PDF YA MAJINA

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Zaidi ya Kimoja Awamu ya tatu na wale ambao hawakuthibitisha awamu zilizopita 2025/2026

Filed in Elimu by on 20.10.2025 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Zaidi ya Kimoja Awamu ya tatu na wale ambao hawakuthibitisha awamu zilizopita 2025/2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Zaidi ya Kimoja Awamu ya tatu na wale ambao hawakuthibitisha awamu zilizopita 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwau udahili katika Awamu ya Tatu na ya mwisho kwa ngazi ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tunduma Town Council

Filed in Usajili by on 20.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tunduma Town Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tunduma Town Council Kwa madhumuni ya Uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6(5) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, pamoja na kuzingatia Ratiba […]

Continue Reading »

NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council

NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma anawatangazia wananchi wote wenye sifa zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuomba nafasi za kazi ya mkataba wa miezi mitatu (03) ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma, WAKUSANYA USHURU (MAKARANI) – NAFASI 50 KAZI NA MAJUKUMU. Kukusanya Mapato ya […]

Continue Reading »