nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited

NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited Kagera Sugar Limited (KSL), ni mtengenezaji wa sukari nchini Tanzania, hadi mwaka 2019 Kagera Sugar ilikuwa ya tatu kwa uzalishaji wa sukari nchini, ikiwa na asilimia 17 ya soko. Baada ya kubinafsishwa mwaka 2001, kufuatia uwekezaji katika mashamba ya Kiwanda na Miwa, Kagera Sugar Limited imekuwa kampuni inayoongoza kwa […]

Continue Reading »

1XBET Yaongeza Muda wa Ushirikiano na PSG

Filed in Michezo by on 20.10.2025 0 Comments
1XBET Yaongeza Muda wa Ushirikiano na PSG

1XBET Yaongeza Muda wa Ushirikiano na PSG Kampuni ya kimataifa ya michezo ya kubashiri, 1xBet imeongeza ushirikiano wake na klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), ikibaki kuwa mshirika rasmi wa klabu hiyo kwa misimu mitatu ijayo. Soma hadi mwisho kuna bonasi maalum kutoka 1xBet inakusubiri! Ushirikiano kati ya 1xBet na Paris Saint-Germain tayari umeonyesha mafanikio makubwa, […]

Continue Reading »

JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura

Filed in Makala by on 20.10.2025 0 Comments
JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura

JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura Karani Mwongoza Wapiga Kura ana jukumu la kuhakikisha Mpiga Kura anaelekezwa vizuri ndani ya Kituo cha kupigia kura bila usumbufu au mkanganyiko wowote. Kupitia Makala hii hapa chini tumekuwekea Majukumu Muhimu ya Karani Mwongoza Wapiga Kura Kuwapokea wapiga kura wanapofika kituoni. Kuwaelekeza wapiga kura kwenye sehemu sahihi kwa utaratibu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025 Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, umezikwa kwa heshima ya kitaifa nyumbani kwake Kang’oka Jaramogi, Bondo, Kaunti ya Siaya. Baada ya ibada maalumu iliyofanyika katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga University mwili wa Raila ulipelekwa nyumbani kwake kwa mazishi ya kifamilia yaliyofanyika […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rombo District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rombo District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rombo District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 11 (1) (e) na Kanuni ya 12(2) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Rombo anawatangazia waombaji waliochaguliwa kwa nafasi za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kalambo District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kalambo District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kalambo District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 na 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na […]

Continue Reading »

MAJUKUMU ya Msimamizi/Msimamizi Msaidizi wa Kituo Cha Kupigia Kura

Filed in Usaili by on 19.10.2025 0 Comments
MAJUKUMU ya Msimamizi/Msimamizi Msaidizi wa Kituo Cha Kupigia Kura

MAJUKUMU ya Msimamizi/Msimamizi Msaidizi wa Kituo Cha Kupigia Kura Majukumu ya Msimamizi/Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura ni muhimu kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, amani na kwa kufuata taratibu. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa haya hapa ni baadhi ya Majukumu ya Msimamizi/ Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia ✅ Kupokea na Kukagua Vifaa vya Kupigia […]

Continue Reading »

AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025

AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs ametangaza nafasi Mpya 10,026 Za Walimu. Katibu huyo amewaalika Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo 10,026 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini kwenye PDF. Nafasi 10,026 Mpya Za Walimu Kutoka […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Usaili by on 19.10.2025
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, […]

Continue Reading »