Ajira

NAFASI Za Kazi Chemba District Council

Filed in Ajira by on 28.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chemba District Council

NAFASI Za Kazi Chemba District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

Filed in Ajira by on 28.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (3) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi

Filed in Ajira by on 27.02.2026 0 Comments
NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi

NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kujitolea (42) katika Hospitali hii, baada ya kupata Muongozo wa nafasi za kujitolea kutoka ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mlimba District Council

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mlimba District Council

NAFASI Za Kazi Mlimba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT)

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT)

NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT) Kwa niaba ya na Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT), Utumishi wa Umma Sekretarieti ya Uajiri (PSRS) inakaribisha hali ya juu, yenye mwelekeo wa matokeo, inayoendeshwa binafsi wataalamu wenye uadilifu, mahiri na wanaofaa watanzania waliohitimu kujaza ishirini na saba (27) nafasi zilizo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council

NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya yaTandahimba anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi kumi na tano (15) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd

Filed in Ajira by on 24.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd

NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd Benki ya Biashara ya Uchumi (Uchumi Bank (UCB) Ltd ni benki ya biashara iliyosajiliwa nchini Tanzania, iliyoanzishwa kama mpango wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini (KKKT-ND) ikiwa na makao yake makuu Moshi, Kilimanjaro. Benki hiyo hutoa huduma za benki za kibiashara, ikiwa ni pamoja na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania

Filed in Ajira by on 24.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania

NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania PASS Trust ni asasi iliyoanzishwa mwaka 2000 ikiwa ni mradi wa Serikali ya Tanzania chini ya Mpango wa Serikali ya Denmark wa kusaidia Kilimo, na ilianza kufanya kazi mwaka 2002, ambapo mwaka 2007 baada ya mafanikio ya mradi huo, ilisajiliwa rasmi kuwa PASS Trust. PASS Trust inatafuta watu wenye […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

Filed in Ajira by on 23.02.2026 3 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba, na kujaza nafasi za ajira ya Mkataba wa Kujitolea, kuleta maombi yao. Nafasi zinazotangazwa ni; – ✅DAKTARI II Mwombaji awe na Shahada katika fani ya Udaktari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, […]

Continue Reading »

NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network

Filed in Ajira by on 23.02.2026 0 Comments
NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network

NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network Kampuni ya MIC Trust Investment Network inatangaza nafasi 500 za Kazi (Sales Person) kwaajili ya Kufungua account za CRDB Pamoja Lipa za CRDB kama ilivyoanishwa hapa chini. Nafasi: Sales Person (500 Position) Majukumu Kufungua account za CRDB Bank Kufungua Lipa za CRDB Bank Sifa na Vigezo Awe […]

Continue Reading »