Ajira

NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs ✅AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) – Nafasi 224 MAJUKUMU YA KAZI Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha. Kuandaa taarifa mbalimbali za […]

Continue Reading »

NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs 

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs 

NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs ✅MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – Nafasi 131 MAJUKUMU YA KAZI Kuandika taarifa ya mapato na matumizi. Kuandika taarifa za maduhuli. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedhaKukagua […]

Continue Reading »

NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs ✅MPISHI DARAJA LA II (COOK GRADE II) – Nafasi 1127 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa chakula cha wanachuo kulingana na Menyu na idadi ya wanachuo. Kupika chakula cha wanachuo. Kutoa ushauri kwa uongozi wa chuo kuhusu chakula cha wanachuo Kusimamia jiko. SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wahitimu […]

Continue Reading »

NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs

NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs ✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II) – Nafasi 3945 MAJUKUMU YA KAZI Kutoa huduma za uuguzi. Kukusanya takwimu muhimu za afya. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya. Kutoa huduma za kinga na uzazi; […]

Continue Reading »

NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs

NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi 17,710 Mpya Za Kazi Kutoka MDAs & LGAs DONWLOAD PDF […]

Continue Reading »

NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs

NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs Duties and Responsibilities Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi PATH Tanzania

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi PATH Tanzania

NAFASI Za Kazi PATH Tanzania PATH Tanzania ni Shirika la afya linalofanya Kazi nchini Tanzania, kama vile kuboresha huduma za TB/VVU, kutengeneza mifumo ya afya ya kidijitali, na kuimarisha utayari wa janga. Shirika hilo linatoa Muhtasari wa Mipango nchini, mara nyingi kwa Ushirikiano na Serikali ya Tanzania na Mashirika Mengine kama Bill & Melinda Gates […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Epha Hospital

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Epha Hospital

NAFASI Za Kazi Epha Hospital Hospital ya Epha ipo Katika Kata ya Sogea Halmashauri ya Mji Tunduma Mkoanj wa Songwe nchini Tanzania. Hospitali hiyo inatoa nafasi za kazi kwa kada tofauti tofauti kwa ajili wa utoaji huduma katika hospitali hiyo. Mnakaribishwa wote kuomba nafasi tajwa hapo chini kulingana na kada na sifa ulizonazo. Nafasi hizo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES) Trees for the Future (TREES) au (MITI) nishirika linaloshirikiana na wakulima nchini Tanzania na nchi nyingine kurejesha ardhi iliyoharibiwa na kuboresha maisha kupitia mpango wake wa mafunzo ya Forest Garden. Mpango huo unawafundisha wakulima mbinu za kilimo mseto, ambazo zinahusisha kupanda maelfu ya miti na aina mbalimbali […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Orica Tanzania

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Orica Tanzania

NAFASI Za Kazi Orica Tanzania Orica inataja uwepo wake Duniani, unaojumuisha Tanzania, kama mtoaji wa kimataifa wa milipuko ya kibiashara na mifumo ya ulipuaji kwa tasnia ya madini, uchimbaji mawe na ujenzi. Orica ni kampuni ya Australia iliyoanzishwa mnamo 1874 huko Australia tangu wakati huo imekua na kuwa mmoja wa watoa huduma wakuu wa usuluhishi […]

Continue Reading »