Ajira

NAFASI Za Intership TrustLink Insurance Broker

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Intership TrustLink Insurance Broker

NAFASI Za Intership TrustLink Insurance Broker ✅Position: Sales and Marketing Interns (2) What you’ll do Prospect and onboard new clients for personal and corporate insurance. Explain products clearly, prepare quotes, and follow up to close sales. Support field activations, campus/SME outreach, and digital campaigns. Maintain accurate client records in our CRM and submit weekly reports. […]

Continue Reading »

TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia

TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki Dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini India kwa matibabu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi Chuo Kikuu cha Ardhi ni chuo kikuu cha umma kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Chuo hicho Kilianzishwa rasmi tarehe 28 Machi 2007 ingawa kimekuwa kikitoa mafunzo kwa zaidi ya miaka 60 sasa. Chuo Kikuu cha Ardhi Kiko jirani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mika Meats Tanzania

Filed in Ajira by on 13.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mika Meats Tanzania

NAFASI Za Kazi Mika Meats Tanzania ✅ Position: Senior Accoutant Skills And Competencies Accounting and finance. Leadership skills. Report preparations. Customer care. Tax and Compliance. Auditor facilitation. Budget control. Tally and Sage Education and Work Experience Bachelors Degree in Accounting/Finance. Prior working Experience of 5 years, 2 in management level. Experience in working on Fast […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited

Filed in Ajira by on 13.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited

NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited Kaberwa Company Limited inatangaza Nafasi za Kazi kwa vijana wa Kitanzania wenye nia ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi 50 zilizoanishwa hapa chini. MAJUKUMU: Kukopesha Simu za Samsung, Infinix, Tecno na Itel. VIGEZO: Elimu – Kuanzia Darasa la Saba. Kitambulisho Cha NIDA/Namba ya NIDA. Uwe na Simu Janja […]

Continue Reading »

NAFASI 41500 Mpya Za Kazi UTUMISHI

Filed in Ajira by on 11.10.2025 0 Comments
NAFASI 41500 Mpya Za Kazi UTUMISHI

NAFASI 41500 Mpya Za Kazi UTUMISHI Serikali imetangaza nafasi za ajira 41,500 za kada mbalimbali, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2025/2026 na kuwataka Watanzania wenye sifa kuchangamkia fursa hiyo. Ajira hizo ni katika kada za Elimu nafasi 12,176, sekta ya afya ngazi ya serikali za mitaa (10,280), kilimo (470), mifugo (312), uvuvi (47), ulinzi […]

Continue Reading »

NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar

Filed in Ajira by on 11.10.2025 0 Comments
NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar

NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar Hospitali ya Saifee Zanzibar ni Shirika lililosajiliwa linalosimamia uendeshaji wa mtandao mkubwa wa hospitali za wilaya za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, chini ya Wizara ya Afya ya Zanzibar (MOH). Dhamira ya Hospitali hiyo ni kutoa huduma za afya zinazofikiwa na za hali ya juu kwa jamii zote […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Pharmacy Council

Filed in Ajira by on 11.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Pharmacy Council

NAFASI Za Kazi Pharmacy Council Baraza la Famasi ni taasisi inayojitegemea chini ya Wizara ya Afya ambayo ilianzishwa chini ya Sheria ya Famasia, Sura ya 311 kama shirika la kudhibiti taaluma na utendaji wa maduka ya dawa. Baraza hilo linawaalika Watanzania mahiri na wanaofaa kujaza nafasi Mbalimbali Kama zilivyoainishwa hapa chini. Nafasi Mpya Za Kazi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

NAFASI Za Kazi K-Finance Limited K-Finance Limited ni taasisi inayomilikiwa na watu binafsi ya mikopo midogo midogo inayofanya kazi Dar es Salaam na Dodoma. K-Finance Limited ambayo shughuli zake zilianza mwaka 2008 baada ya kusajiliwa na kuingizwa nchini Tanzania kama kampuni ya huduma za kifedha inayotoa mikopo na kupata leseni mwaka 2021 kama Taasisi ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Intership World Health Organization (WHO)

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Intership World Health Organization (WHO)

NAFASI Za Intership World Health Organization (WHO) Shirika la Afya Duniani ( WHO ) ni wakala maalumu wa Umoja wa Mataifa ambao huratibu majibu kwa masuala ya kimataifa ya afya ya umma na dharura. Makao yake makuu yako Geneva, Uswisi, na ina ofisi 6 za kanda na ofisi 150 za uga duniani kote. Ni mataifa […]

Continue Reading »