Ajira

NAFASI Za Intership Clouds Media Group

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Intership Clouds Media Group

NAFASI Za Intership Clouds Media Group Clouds Media Group (CMG) inatoa fursa ya kipekee ya kujifunza, kukua, na kufanya uvumbuzi na mojawapo ya vyombo vya habari vinavyoongoza Afrika Mashariki, Fursa za Kuajiriwa, Programu ya Mafunzo ya Masoko ya Clouds Media Group 2025. Mpango huu umeundwa kwaajili ya wataalamu wachanga wanaotamani kupata uzoefu wa ulimwengu halisi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi KOFIH Tanzania

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi KOFIH Tanzania

NAFASI Za Kazi KOFIH Tanzania Korea Foundation for International Health Care (KOFIH) ni wakala wa umma ulioanzishwa mwaka wa 2006 chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamhuri ya Korea. Kulingana na maono yake kama mshirika wa kimataifa anayechangia maendeleo ya huduma ya afya, KOFIH imekuza ushirikiano wa kimataifa na kudumisha maadili ya kibinadamu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania

NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania Meridian Bet Tanzania ni waendeshaji wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania. Kampuni hiyo ina leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu katika sekta zote za ubashiri, ikiwa ni pamoja na maduka ya kubashiri na ubashiri wa mtandaoni. Mpaka sasa, Meridian Bet inaendesha shughuli zake katika mikoa yote Tanzania. Meridian Bet […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Arusha City Council

Filed in Ajira by on 07.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Arusha City Council

NAFASI Za Kazi Arusha City Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅DEREVA DARAJA LA II – NAFASI (06) – INARUDIWA MAJUKUMU YA KAZI […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket

Filed in Ajira by on 05.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket

NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket Positions: Cashiers (5 posts) Location: Dar es Salaam Responsibilities  Monitoring the front desk and answering incoming calls, greeting customers as they enter the gym , and answering questions about the facility services Processing member’s applications and fees  and issuing memberships Collecting payment from members for gym services rendered Explaining facility policies […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Isamilo International School

Filed in Ajira by on 05.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Isamilo International School

NAFASI Za Kazi Isamilo International School Isamilo International School has teaching assistant positions available for Tanzanian teachers Only. ✅Position: Teaching Assistant – 2 Posts Academic qualification At least a Degree in Education Experience teaching in an International Setting. Fluent in spoken and written English and Swahili Ability to get on well with people of diverse […]

Continue Reading »

MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC

MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC Kocha wa Mkuu wa Gaborone United, raia wa Bulgaria, Dimitar Pantev mwenye Umri wa miaka 49 amejiunga na Klabu ya Soka ya Simba kama Kocha Mkuu akichukua nafasi ya Fadlu David aliyeachana na Klabu hio mapema mwezi huu. Kocha huyo anatarajiwa kuingia nchini Tanzania muda wote kuanzia […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences

NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences Chuo cha afya Mlimba (MIHAS) kinawatangazia watanzania wote Nafasi za kazi kama ifuatavyo hapa chini. Bachelor degree in Physiotherapy 2 position 2. Ordinaly diploma in Physiotherapy 1 position. Medical doctor 1 position. Pharmaceutical technician 1 position. Bachelor degree in Social works 1 position. BONYEZA HAPA […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania

NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania Hand Eastern Africa-Tanzania (HIHEA TZ) ni Asasi Isiyo ya Kiserikali (NGO) iliyosajiliwa nchini Tanzania tangu 2018 kwa mamlaka ya kufanya kazi nchini. Maono ya HIHEA ni kuwezesha jamii, haswa wanawake, kupitia uundaji wa biashara na ajira endelevu. HIHEA (TZ) kwa sasa inaongoza shughuli zake kupitia matawi yaliyopo Moshi, Arusha, Manyara, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council

Filed in Ajira by on 01.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council

NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Kisarawe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY) – NAFASI 03 […]

Continue Reading »