Ajira

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/09/2025

Filed in Ajira by on 12.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 12/09/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/09/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 18-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Magu District Council

Filed in Ajira by on 12.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Magu District Council

NAFASI Za Kazi Magu District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Qatar Charity Tanzania

Filed in Ajira by on 11.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Qatar Charity Tanzania

NAFASI Za Kazi Qatar Charity Tanzania Position: Food Security & Livelihood Officer Base Location: Dar Es Salaam, with frequent field visits across Tanzania Region. Contract Duration: Six months with possibility of extension Desired Start Date: ASAP Job Purpose: To plan and supervise implementation of the FSL projects in Tanzania mainland and Zanzibar ensuring that (i) […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

NAFASI Za Kazi Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ✅ESTATE OFFICER II (PROPERTIES AND FACILITIES MANAGEMENT) – 2 POSTS DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist Senior Estate Officer in undertaking optimal use of Government Real Estate. To participate in carrying out management survey of all Government Properties to establish a benchmark of proper use. To undertake recording […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ni taasisi ya serikali ya maendeleo ya fedha (DFI) iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Makampuni Na. 2 ya mwaka 2002 na kupewa Hati ya Ushirika Na. 94075 tarehe 26 Septemba 2011. Jukumu kuu la benki hiyo ni kuwa chachu ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT)

NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) ✅RESEARCH OFFICER – (ARTS AND DESIGN)- 1 POST (RE-ADVERTISED) DUTIES AND RESPONSIBILITIES To perform the field data collection, computer data entry and analysis and gathering relevant literature. To undertake specific research activities with less supervision from senior researchers or team leader. To prepare and submits manuscript […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) ✅RESEARCH OFFICER (NUTRITION)- 3 POSTS DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist in carrying out fieldwork. To assist in supervising field students. To assist in proposing, planning, and managing food and nutrition research projects and preparing reports. To assist in writing food and nutrition research with other […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ✅RESEARCH OFFICER II (REHABILITATION SERVICES/MEDICAL OCCUPATIONAL) -1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES To perform field data collection, computer data entry, analysis, and gathering relevant literature. To undertake specific research activities with less supervision from senior researchers or the team leader. To prepare and […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania

NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania ✅RESEARCH OFFICER II (BEEKEEPING) -1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES To gather relevant literature and write up research reports. To collaborate and interact with research scientists in the dissemination and application of research findings as appropriate. To collect, process and analyse data related to wildlife management. To publish research results in […]

Continue Reading »

NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera

NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, anawaalika Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi 22 za mkataba katika nafasi zifuatazo:- ✅AFISA TEHAMA – NAFASI 2 SIFA ZA MWOMBAJI: Awe mwenye Shahada katika fani ya TEHAMA kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali mwenye uzoefu […]

Continue Reading »