Ajira

NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited

NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited Kampuni ya Mkwawa Leaf Tobacco Limited (MLTL) inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi 33 kama zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Mkwawa Leaf Tobacco Limited BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Continue Reading »

NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya

Filed in Ajira by on 09.09.2025 3 Comments
NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya

NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Kwa Kushirikiana na Mdau HJMRI anapenda Kuwatangazia Wananchi wote Nafasi za Kazi Ishirini (20) za Ajira ya Mkataba Kwa Kada za Afya Watakaofanya Kazi Katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya. Nafasi hizo ni; Daktari II, Afisa Tabibu II, Afisa […]

Continue Reading »

NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA

NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA Kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Tanzania Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Kituo cha Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mafia District Council

Filed in Ajira by on 05.09.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi Mafia District Council

NAFASI Za Kazi Mafia District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao hapa chini kwenye PDF. TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Emirates Leisure Retail

Filed in Ajira by on 05.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Emirates Leisure Retail

NAFASI Za Kazi Emirates Leisure Retail Emirates Leisure Retail (ELR), kampuni tanzu ya Emirates Group, imejitolea kutoa ukarimu wa hali ya juu na uzoefu wa rejareja visiwani Zanzibar kupitia ZOMA Bila Ushuru. Tukiwa na jalada tofauti la chapa zinazotambulika kimataifa na dhana za kushinda tuzo, tunafanya kazi bila kutozwa ushuru, chakula na vinywaji, na mtindo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi East Africa Television Limited

Filed in Ajira by on 04.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi East Africa Television Limited

NAFASI Za Kazi East Africa Television Limited ✅ Position: Freelancer Sales Executive East Africa Television Limited is looking for self driven sales personnel to join our advertising sales team in Dar es Salaam. Responsibilities Be responsible for aggressive development of new clients and growing existing business. Proactively develop new business avenues. Devise and monitor business […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mofat Tanzania

Filed in Ajira by on 04.09.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi Mofat Tanzania

NAFASI Za Kazi Mofat Tanzania Mofat BRT inatangaza nafasi za kazi za madereva,Kampuni hiyo imejitolea kwa mbinu ya usalama kwanza katika shughuli zote. Kampuni hiyo inatambua ubora huo katika kusimamia kazi, afya na usalama kwa mafanikio ya muda mrefu ya biashara yetu. Kampuni hiyo ina mpango wa kuunganisha biashara za watu na jumuiya kwa maisha […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bunda District Council

Filed in Ajira by on 04.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bunda District Council

NAFASI Za Kazi Bunda District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na Saba (17) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao: Nafasi 17 Mpya Za Kazi Kutoka Halmashauri […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kakonko District Council

Filed in Ajira by on 03.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kakonko District Council

NAFASI Za Kazi Kakonko District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anawatagazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada yya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, Chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/09 cha 25.06.2024, kutoka kwa Katibu Mkuu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Babati District Council

Filed in Ajira by on 03.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Babati District Council

NAFASI Za Kazi Babati District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi tano (5) katika Halmashauri hiyo baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI […]

Continue Reading »