Kuitwa Kazini

KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025

KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini TFS Tanzania

Filed in Kuitwa Kazini by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini TFS Tanzania

KUITWA Kazini TFS Tanzania Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 06-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini NFRA Tanzania

Filed in Kuitwa Kazini by on 03.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini NFRA Tanzania

KUITWA Kazini NFRA Tanzania Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wa nafasi mbalimbali walofanya usaili tarehe 01 Septemba, 2025 hadi 04 Septemba, 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo na kuitwa kazini ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha, waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 03.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025 Kufuatia kutolewa kwa tangazo lenye kumb. Na.CDC/1.20/VOL.1/45 la tarehe 21 Julai, 2025 na kufanyika usaili wa Wakusanya Mapato wa tarehe 7 Agosti, 2025 katika Ukumbi wa Mkurugenzi Mtendaji. Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba anawatangazia walioshinda usaili kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji tarehe 06 Oktoba, 2025. […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-01-2025 na tarehe 13-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini MUST 30/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini MUST 30/09/2025

KUITWA Kazini MUST 30/09/2025 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya anapenda kutoa taarifa waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliohudhuria usaili kati ya tarehe 12 Septemba 2025 kwamba matokeo ya watahiniwa waliofaulu yameorodheshwa katika tangazo hili. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wanapaswa kuelewa kwamba hawakuchaguliwa na wanahimizwa kutuma […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025

KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025 Mkurugenzi wa Halmashaurii ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwataarifa waombaji kazi wa nafasi za Udereva Daraja la II, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II waliofanya usaili kati ya tarehe 14/09/2025 hadi 18/09/2025 matokeo yapo tayari. Waliofaulu usaili huo […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Dereva II na Wasaidizi wa Kumbukumbu II waliofanya usaili tarehe 15.09.2025 hadi tarehe 18.09.2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi hao waliofaulu usaili ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha waombaji kazi waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II waliofanya usaili tarehe 17-09-2025 na tarehe 18-09-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 09.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 12-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »