Kuitwa Kazini

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.08.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.08.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2025 na tarehe 05-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs

Filed in Kuitwa Kazini by on 31.07.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs

KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), MDAs & LGAs, Wizara ya Afya, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 29/07/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 29.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 29/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 29/07/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 25/07/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 25/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 25/07/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 24/07/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 24/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 24/07/2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar […]

Continue Reading »

MAJINA 517 ya Walioitwa Kazini Kada ya Afya Kupitia Programu ya TIMCHIP

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.07.2025 0 Comments
MAJINA 517 ya Walioitwa Kazini Kada ya Afya Kupitia Programu ya TIMCHIP

MAJINA 517 ya Walioitwa Kazini Kada ya Afya Kupitia Programu ya TIMCHIP Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika Programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 23/07/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 23/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 23/07/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025, Kuitwa Kazini Waombaji wa Nafasi ya Ajira ya Mkataba wa Maafisa Lishe. Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji kazi ya Mkataba wa Afisa Lishe ambao walifanya usaili tarehe 08-07-2025 kuwa majina ya waombaji walioshinda usaili huo yameoorodheshwa hapa chini. Aidha, walioshinda usaili huo, wanatakiwa kuriporti OR-TAMISEMI, […]

Continue Reading »