nijuze's Latest Posts

NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA

NAFASI 298 Za Kazi VETA, TAWIRI, SUA, NIMR, TFNC, NMT na TBA Kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Tanzania Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Kituo cha Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 09.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/09/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 12-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 09.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

Continue Reading »

BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6

Filed in Michezo by on 08.09.2025 0 Comments
BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6

BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6 Katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga uliofanyika ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es salaam, ilisomwa taarifa ya mapato na matumizi kwa msimu uliopita 2024/2025. Lakini pia katika mkutano huo pia ilisomwa bejeti ya klabu hiyo kwa msimu ujao wa 2025/2026. Akisoma taarifa ya mapato na […]

Continue Reading »

NIT Selected Applicants 2025/2026

Filed in Elimu by on 08.09.2025 0 Comments
NIT Selected Applicants 2025/2026

NIT Selected Applicants 2025/2026 Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo cha Kitaifa cha Usafirishaji (NIT) awamu ya Kwanza 2025/2026. Kouma Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo cha Kitaifa cha Usafirishaji Tanzania Tafadhali bonyeza link hapa chini kuthibitisha. BONYEZA HAPA KUTHIBITISHA KUJIUNGA

Continue Reading »

MWECAU Selected Applicants 2025/2026

Filed in Elimu by on 08.09.2025 0 Comments
MWECAU Selected Applicants 2025/2026

MWECAU Selected Applicants 2025/2026 Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU) kinapenda kuwataarifu waombaji wote ambao wamekubaliwa kikamilifu Kujiunga na Chuo hicho kuwa barua zao rasmi za kujiunga zinapatikana kupitia mfumo wa maombi wa uas.mwecau.ac.tz Kuona Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU) tafadhali bonyeza link hapa chini Kudownload […]

Continue Reading »

MNMA Selected Applicants 2025/2026

Filed in Elimu by on 08.09.2025 0 Comments
MNMA Selected Applicants 2025/2026

MNMA Selected Applicants 2025/2026 Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) awamu ya Kwanza 2025/2026. Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yameoorodheshwa hapa chini kwenye link ya tovuti ya Chuo. BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF

Continue Reading »

MUM Selected Applicants 2025/2026

Filed in Elimu by on 08.09.2025 0 Comments
MUM Selected Applicants 2025/2026

MUM Selected Applicants 2025/2026 Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro  (MUM) awamu ya Kwanza 2025/2026. Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro yameoorodheshwa hapa chini kwenye Tovuti ya Chuo. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Continue Reading »

NYARAKA Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

Filed in Usaili by on 08.09.2025 0 Comments
NYARAKA Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

Nyaraka Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili Sekretarieti ya Ajira, au Sekretarieti ya Kuajiri Watumishi wa Umma (PSRS) , ndicho chombo kikuu cha serikali chenye jukumu la kuajiri watumishi wa umma nchini Tanzania. Sekretarieti ya Ajira inahakikisha kwamba mchakato wa kuajiri unafuata kanuni za uwazi, usawa na sifa. Ili kufanya mchakato huu kuwa wa ufanisi na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 08.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kamati ndogo (standing committees) mpya zitakazofanya kazi kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Septemba 7, 2025, na TFF, kamati hizo ni Kamati ya Fedha na Mipango pamoja na Kamati ya Mashindano. Katika Kamati […]

Continue Reading »