nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

NAFASI Za Kazi Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ni taasisi ya serikali ya maendeleo ya fedha (DFI) iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Makampuni Na. 2 ya mwaka 2002 na kupewa Hati ya Ushirika Na. 94075 tarehe 26 Septemba 2011. Jukumu kuu la benki hiyo ni kuwa chachu ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT)

NAFASI Za Kazi Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) ✅RESEARCH OFFICER – (ARTS AND DESIGN)- 1 POST (RE-ADVERTISED) DUTIES AND RESPONSIBILITIES To perform the field data collection, computer data entry and analysis and gathering relevant literature. To undertake specific research activities with less supervision from senior researchers or team leader. To prepare and submits manuscript […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) ✅RESEARCH OFFICER (NUTRITION)- 3 POSTS DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist in carrying out fieldwork. To assist in supervising field students. To assist in proposing, planning, and managing food and nutrition research projects and preparing reports. To assist in writing food and nutrition research with other […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUST 04/09/2026

Filed in Usaili by on 10.09.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUST 04/09/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUST 04/09/2026 Makamu Mkuu wa Chuo cha Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-09-2025 hadi 12-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ✅RESEARCH OFFICER II (REHABILITATION SERVICES/MEDICAL OCCUPATIONAL) -1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES To perform field data collection, computer data entry, analysis, and gathering relevant literature. To undertake specific research activities with less supervision from senior researchers or the team leader. To prepare and […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 10.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025 Kampuni ya Mati Super Brands ltd yenye Makao yake Makuu Babati Mkoani Manyara, kupitia Taasisi yake isiyo ya kiserikali ya Mati foundation, imeanza rasmi mradi wa kukabidhi pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa Watu wenye ulemavu Nchini Tanzania ili kuwasaidia kufanya shughuli zao za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania

Filed in Ajira by on 10.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania

NAFASI Za Kazi TAWIRI Tanzania ✅RESEARCH OFFICER II (BEEKEEPING) -1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES To gather relevant literature and write up research reports. To collaborate and interact with research scientists in the dissemination and application of research findings as appropriate. To collect, process and analyse data related to wildlife management. To publish research results in […]

Continue Reading »

NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera

NAFASI 22 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bukoba-Kagera Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, anawaalika Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi 22 za mkataba katika nafasi zifuatazo:- ✅AFISA TEHAMA – NAFASI 2 SIFA ZA MWOMBAJI: Awe mwenye Shahada katika fani ya TEHAMA kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali mwenye uzoefu […]

Continue Reading »

NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited

Filed in Ajira by on 09.09.2025 0 Comments
NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited

NAFASI 33 Za Kazi Mkwawa Leaf Tobacco Limited Kampuni ya Mkwawa Leaf Tobacco Limited (MLTL) inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi 33 kama zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Mkwawa Leaf Tobacco Limited BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Continue Reading »

NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya

Filed in Ajira by on 09.09.2025 3 Comments
NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya

NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Kwa Kushirikiana na Mdau HJMRI anapenda Kuwatangazia Wananchi wote Nafasi za Kazi Ishirini (20) za Ajira ya Mkataba Kwa Kada za Afya Watakaofanya Kazi Katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya. Nafasi hizo ni; Daktari II, Afisa Tabibu II, Afisa […]

Continue Reading »