nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam

NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam Position: Consular Assistant The High Commission of the Republic of Kenya in the United Republic of Tanzania is seeking to employ a qualified person for the position of Consular Assistant. The position is for a duration of one (1) year renewable based on performance. Skills and […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Exodus Tanzania

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Exodus Tanzania

NAFASI Za Kazi Exodus Technologies Limited  ✅Position: IT Sales Officer Location: Dar es Salaam Job Type: Full-time Salary: Base Salary + Commission Exodus Technologies Limited We are looking for a motivated IT Sales Officer to market and sell ICT products and solutions. The successful candidate will be responsible for generating leads, closing sales, and maintaining strong client relationships. […]

Continue Reading »

NAFASI 1500 Za Kujitolea Kwa Walimu wa Shule za Sekondari 2026

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI 1500 Za Kujitolea Kwa Walimu wa Shule za Sekondari 2026

NAFASI 1500 Za Kujitolea Kwa Walimu wa Shule za Sekondari 2026 Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM –TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu “Global Partnership for Education Teacher Support Programme(GPE – TSP)” inatekeleza afua mbalimbali ikiwemo kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea (engagement of volunteer teachers). […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro, inatangaza nafasi za kujitolea kwa kada mbalimbali kwa muda wa miezi kumi na mbili (12) kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi ECCT Tanzania

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi ECCT Tanzania

NAFASI Za Kazi ECCT Tanzania ECCT ni shirika linaloongozwa na vijana, linalolenga jamii linaloendeleza uhifadhi wa mazingira, hatua za hali ya hewa, na maisha endelevu nchini Tanzania. Linawawezesha vijana, wanawake, na jamii ili kuongoza masuluhisho yanayotokana na wenyeji kupitia mtindo wa duara, maisha rafiki kwa mazingira, elimu ya mazingira, na mipango ya kukabiliana na hali […]

Continue Reading »

NAFASI 200 Za Kazi Kenrom Chemical T Ltd

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI 200 Za Kazi Kenrom Chemical T Ltd

NAFASI 200 Za Kazi Kenrom Chemical T Ltd NAFASI ZA AJIRA 200 WaTAALAMU WA MAUZO NA MASOKO Kampuni ya Kenrom Chemical T Ltd inatangaza nafasi za ajira 200 kwa Watanzania wenye sifa stahiki waishio mkoa wa Dar es salaam kujaza nafasi ya Mtaalamu wa Mauzo na Masoko kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DOWNLOAD PDF […]

Continue Reading »

NAFASI 200 Za Kazi NMB Bank Plc

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI 200 Za Kazi NMB Bank Plc

NAFASI 200 Za Kazi NMB Bank Plc Benki ya NMB Plc ni benki inayoongoza na iliyoshinda tuzo nchini Tanzania, inayotoa huduma kamili za kibenki kwa zaidi ya wateja milioni 7.1, wakiwemo watu binafsi, wafanyabiashara wadogo na wa kati, na mashirika makubwa. NMB Bank Plc ilianzishwa mwaka wa 1997 kufuatia kuvunjika kwa Benki ya Taifa ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

Filed in Usaili by on 24.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania Kwa niaba ya Mtendaji Mkuu, Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro, inawakaribisha Wagombea wote walioteuliwa kuhudhuria usaili wa nafasi ya Udereva II utakaofanyika tarehe 29 na 30 Januari 2026, katika Chuo cha VETA Moshi saa 8:00 asubuhi. Waombaji wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao halisi, vyeti vya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bahi District Council

Filed in Ajira by on 24.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bahi District Council

NAFASI Za Kazi Bahi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »