nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025

Filed in Elimu by on 30.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025

MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE 2025) Leo Jumamosi tarehe 31 January 2026. Ili kuona Matokeo hayo baada ya Kutoka, tafadhali fuata hatua hizi hapa chini. Bofya Link ya Matokeo Katika tovuti ya NECTA Chagua Mwaka wa Mtihani […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo 24-25 na 27/01/2026

Filed in Usaili by on 27.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo 24-25 na 27/01/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo 24-25 na 27/01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. VOCATIONAL TEACHER II – ELECTRICAL INSTALLATION ARCHITECT II ARTISAN (PLUMBER)

Continue Reading »

Anicet Oura ni Mnyama

Filed in Usajili by on 26.01.2026 0 Comments
Anicet Oura ni Mnyama

Anicet Oura ni Mnyama Karibu Simba SC, Anicet Oura. Klabu ya Simba Simba Sports Club imekamilisha usajili wa winga, Alain Anicet Oura Kutoka IF Gnistan ya nchini Finland. Anicet Oura mwenye Umri wa miaka 26 amewahi kuzitumikia klabu za ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Stellenbosch SC (Afrika Kusini). Oura anajiunga na Wekundu wa Msimbazi Kwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania

Filed in Ajira by on 26.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania

NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania MOGO Credit Tanzania ni sehemu ya Eleving Group, ambayo ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi, inayofanya kazi katika nchi 15 katika mabara 3. MOGO Credit Tanzania inatoa ufadhili wa magari, pikipiki, na tuk-tuk, ufadhili wa simu janja pamoja na mikopo ya daftari na mengineyo. […]

Continue Reading »

NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency

Filed in Ajira by on 26.01.2026 0 Comments
NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency

NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency Nad Insurance Agency, ikishirikiana na CRDB inatangaza nafasi 1,000 za kazi kwa vijana wote wa Kitanzania. VIGEZO Elimu kuanzia Kidato cha Nne. Kitambulisho cha NIDA/Mpiga Kura. Uwe na Simu Janja. Uwe Muaminifu. Uwe Mchapakazi MAJUKUMU Kutengeneza LIPA HAPA ZA CRDB kwa wafanyabiashara Kutengeneza AKAUNTI MPYA za wateja wapya […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika 24 na 25/01/2026

Filed in Usaili by on 26.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika 24 na 25/01/2026

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika 24 na 25/01/2026 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika uliofanyika tarehe 24 na tarehe 25 /01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI – […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Air Tanzania 2026

Filed in Usaili by on 25.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Air Tanzania 2026

KUITWA Kwenye Usaili Air Tanzania 2026 Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 31 Januari, 2026 hadi tarehe 6 Februari, 2026. Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- Usaili wa mchujo utafanyika tarehe 31 Januari, 2026 na usaili wa mahojiano utafanyika kuanzia tarehe 3 […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026 Kufuatia kukamilika kwa usaili wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama. Wahusika wote watatumiwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nachingwea District District

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nachingwea District District

NAFASI Za Kazi Nachingwea District District Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na tano (15) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa. DONWLOAD PDF YA TANGAZO […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar

NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »