nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Green Bird College

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Green Bird College

NAFASI Za Kazi Green Bird College Green bird college seeking tutors to volunteer: and if later are okay can be hired, allowance will be paid Position: Volunteer Tutors 1.Computer Tutor Qualifications: computer science degree 2.Pharmacy tutors Qualifications: degree in pharmacy 3.Clinical Medicine Tutor Qualifications: Degree in Medicine 4.Mathematics and science for education college Qualifications: Degree […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

Filed in Ajira by on 11.01.2026 0 Comments
NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 142 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE

Filed in Ajira by on 11.01.2026 0 Comments
NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE

NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE Kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Wakala wa Meli Tanzania Shirika (TASAC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Udhibiti wa Bima Tanzania Mamlaka (TIRA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Kituo cha Kilimo Mitambo na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

Filed in Ajira by on 10.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo anatangaza Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Nne 2025

Filed in Elimu by on 10.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Nne 2025

MATOKEO ya Darasa la Nne 2025 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) Leo tarehe 10 January 2026. Upimaji huu uliofanyika mwezi Oktoba 2025 ni kipimo muhimu cha kuangalia uwezo wa mwanafunzi katika stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kabla hajaingia darasa la […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

Filed in Usaili by on 10.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), MDAs & LGAs, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT), Tume ya Madini (TMC), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 09.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 09/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11-01-2025 na tarehe 28-11-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

AFCON 2025 Weka dau kwenye mechi za robo Fainali Ushinde Mamilioni

Filed in Michezo by on 09.01.2026 0 Comments
AFCON 2025 Weka dau kwenye mechi za robo Fainali Ushinde Mamilioni

AFCON 2025 Weka dau kwenye mechi za robo Fainali Ushinde Mamilioni Tovuti bora zaidi ya kamari ya michezo ya 1xBet, mdhamini rasmi wa AFCON 2025, inawasilisha mechi za kuvutia za mashindano makuu ya kandanda barani Afrika, yatakayofanyika Januari 9 na 10. Fuata kanuni za kucheza kamari, weka dau zako kwa uwezekano bora zaidi kupitia kiungo […]

Continue Reading »