nijuze's Latest Posts

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Filed in Ajira, Makala by on 14.01.2026 0 Comments
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Kupitia Ajira Portal Mfumo wa Ajira wa Serikali ni Mfumo unaopokea Maombi Mbalimblai kila Siku kwa nafasi zinazotangazwa na sekretarieti ya ajira UTUMISHI na Utawala Bora. Katika Makala hii Nijuze Habari imekuandalia namna na Jinsi ya Kujisajili Katika Tovuti ya Ajira Tanzania portal.ajira.go.tz Pamoja na Jinsi ya Kutuma Maombi […]

Continue Reading »

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

Filed in Ajira, Makala by on 14.01.2026 0 Comments
MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba Kuingia Ndani ya Mfumo huu lazima uwe na namba ya NIDA au barua pepe uliyotumia kujisajili kama jina la mtumiaji (username) Kwa wale ambao washajisajili Katika Mfumo huu.     Maelekezo Kwa Waombaji wapya  Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU Kama ni muombaji mpya bofya […]

Continue Reading »

NAFASI 201 Za Walimu Daraja la III C Somo la Fizikia MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 14.01.2026 0 Comments
NAFASI 201 Za Walimu Daraja la III C Somo la Fizikia MDAs & LGAs

NAFASI 201 Za Walimu Daraja la III C Somo la Fizikia MDAs & LGAs ✅MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) – Nafasi 201 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufundisha, […]

Continue Reading »

NAFASI 709 Za Walimu Daraja la III C Somo la Hisabati MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 14.01.2026 0 Comments
NAFASI 709 Za Walimu Daraja la III C Somo la Hisabati MDAs & LGAs

NAFASI 709 Za Walimu Daraja la III C Somo la Hisabati MDAs & LGAs ✅MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) – Nafasi 709 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufundisha, […]

Continue Reading »

NAFASI 912 Za Walimu MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 14.01.2026 0 Comments
NAFASI 912 Za Walimu MDAs & LGAs

NAFASI 912 Za Walimu MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 912 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DOWNLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 13/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 14.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 13/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 13/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-12-2024 na tarehe 05-01-2025 Pamoja na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2026

Filed in Usaili by on 13.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2026

KUITWA Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2026 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatangaza majina ya Vijana waliochaguliwa kuhudhuria mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Wahusika wanatakiwa kufika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga kuanzia tarehe 19 hadi 21 […]

Continue Reading »

ALLAN Okello Mchezaji Mpya wa Yanga

Filed in Michezo by on 13.01.2026 0 Comments
ALLAN Okello Mchezaji Mpya wa Yanga

ALLAN Okello Mchezaji Mpya wa Yanga Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa winga, Allan Okello mwenye Umri wa miaka 21 Kutoka Vipers FC ya kwao Uganda.  

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Neo Group

Filed in Ajira by on 13.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Neo Group

NAFASI Za Kazi Neo Group Neo Group nchini Tanzania linaonekana kuwa kampuni inayoweza kuzingatia usaidizi kwa wateja na huduma za TEHAMA/kidijitali, kuajiri kikamilifu kwa majukumu yanayohitaji ujuzi wa Kijerumani na Kiingereza, kufanya kazi Dar es Salaam, na sehemu ya Kundi kubwa la Neo la kimataifa linalojulikana kwa ushauri, utafutaji, na teknolojia, ingawa kampuni zingine za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ando Roofing Products Ltd

Filed in Ajira by on 13.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ando Roofing Products Ltd

NAFASI Za Kazi Ando Roofing Products Ltd ✅Position: Sales Executives (13 Post) Requirements Diploma – Bachelor degree in Sales, Marketing or related field of study. Must have At least 2 years of working Experience in Sales. Experience in selling roofing products, uPVC products is an added advantage. How to Apply: E-mail : hr@ando.co.tz Deadline is 20 […]

Continue Reading »