nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa Mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 12 December 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 12.12.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 12 December 2025

KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 12 December 2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 5 Desemba, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika […]

Continue Reading »

NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Taifa Cha Utalii (NCT)

Filed in Usajili by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Taifa Cha Utalii (NCT)

NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Taifa Cha Utalii (NCT) Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Utalii (NCT) anayofuraha kuwatangazia wananchi na wadau wote kuwa Chuo Cha Taifa Cha Utalii Kampasi ya Arusha kimepata fursa ya kutoa mafunzo ya Uanagenzi chini ya Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayolenga kuwezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited

NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited Uongozi wa NABA Schools Limited iliyopo Mbezi Kwa msuguri, Jijini Dar es Salaam unapenda kuwatangazia nafasi za Kazi Za Walimu Kwa Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi Mpya Za Walimu Kutoka NABA Schools Limited DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency

NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency Nad Insurance Agency ni Kampuni ya Biashara ambayo imeanzishwa Juni 2014, Makao yake Makuu yakiwa Jijini Mwanza, huku ikiwa na Matawi Mbalimbali nchini kote. Nad Insurance Agency inatoa huduma kwa Mawakala wa huduma za Kifedha kawaida na wakubwa na Kutengeneza Mawakala wapya na kuwainua na wale waliokuwa hawafanyi Kazi. […]

Continue Reading »

VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025

Filed in Usaili by on 11.12.2025 0 Comments
VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025

VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili vilivyoainishwa kwenye kiambatisho hapo  chini. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi vya kitaaluma,cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho. VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO MIKOANI

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni Chuo Kikuu cha Umma, kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Namba 17 ya 1992. Tangu tarehe 1 Januari, 2007, Chuo Kikuu kimekuwa kikifanya kazi chini ya OUT-Charter Inc. ya 2007, ambayo inaendana na Sheria ya Chuo Kikuu Na.7 ya 2005. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA)

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA)

NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA) Norwegian Church Aid (NCA) ni shirika lililopewa mamlaka na Makanisa na mashirika ya Kikristo nchini Norway kufanya kazi na watu Duniani kote ili kutokomeza umaskini na ukosefu wa haki. Nchini Tanzania, NCA inafanya kazi hasa na Shirika la Kiimani ili kudumisha utu wa binadamu, kukuza haki za binadamu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania

NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ni Wakala wa Utendaji wa Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ulioanzishwa chini ya Kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Wakala wa Utendaji (sura.245) na Oder iliyochapishwa katika Notisi ya Serikali Na.211, ya tarehe 2 Mei 2017, na […]

Continue Reading »

MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima

Filed in Elimu by on 11.12.2025 0 Comments
MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima

MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda ametangaza mabadiliko ya mtaala mpya wa elimu ambapo amesema kuwa kwa sasa tunaondokana na mtaala wa sasa wa ‘7+4+2+3+’ na kwenda kwenye mtaala mpya wa ‘6+4+2 au 3+3+’ ambao elimu ya msingi itaishia darasa la sita huku elimu […]

Continue Reading »