nijuze's Latest Posts

KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025

Filed in Ajira by on 10.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025

KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025 Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza, watasailiwa kwa […]

Continue Reading »

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Filed in Elimu by on 10.12.2025 0 Comments
Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026 Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati – Selform, Form Five Selection 2026. Uchaguzi wa Wanafunzi Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Fanikiwa Microfinance Limited

Filed in Ajira by on 10.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Fanikiwa Microfinance Limited

NAFASI Za Kazi Fanikiwa Microfinance Limited Fanikiwa Microfinance Company Limited ni taasisi ya kifedha ya Tanzania inayotoa mikopo inayoweza kufikiwa kwa watumishi wa umma, wafanyakazi wa sekta binafsi, na wajasiriamali, inayozingatia uwezeshaji wa huduma za haraka, zilizoboreshwa, kutoa bidhaa kama vile mikopo ya kibinafsi na mikopo ya hati miliki ya magari katika maeneo kama vile […]

Continue Reading »

MAKUNDI ya AFCON 2025 Morocco

Filed in Michezo by on 10.12.2025 0 Comments
MAKUNDI ya AFCON 2025 Morocco

MAKUNDI ya AFCON 2025 Morocco Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 ambayo yatafanyika nchini Morocco yataanza rasmi Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026. Haya hapa ni Makundi yote sita ya AFCON 2025 nchini Morocco. Group A Morocco Mali Zambia Comorros Group B Egypt South Africa Angola Zimbabwe Group C Nigeria Tunisia Uganda […]

Continue Reading »

RATIBA ya Makundi Ya AFCON 2025 Morocco

Filed in Michezo by on 10.12.2025 0 Comments
RATIBA ya Makundi Ya AFCON 2025 Morocco

RATIBA ya Makundi Ya AFCON 2025 Morocco Fainali za AFCON2025 hatua ya makundi zinaanza December 21, nchini Morocco. Hii hapa ni Ratiba Kamili ya hatua ya Makundi.

Continue Reading »

LINK Za Magroup ya Ajira Za Walimu

Filed in Usajili by on 10.12.2025 0 Comments
LINK Za Magroup ya Ajira Za Walimu

LINK Za Magroup ya Ajira Za Walimu LINK Za Magroup ya Usaili Ajira Za Walimu CHEMISTRY BIOLOGY MATHEMATICS DEGREE GRADE IIIC     DIPLOMA GRADE IIIB CERTIFICATE GRADE IIIA GEOGRAPHY  HISTORY   KISWAHILI     ENGLISH   PHYSICS

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu

Filed in Usaili by on 10.12.2025 0 Comments
MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Kupitia Makala hii hapa chini ni baadhi ya maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

Filed in Ajira by on 09.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

NAFASI Za Kazi Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Arusha Technical College (ATC) ni chuo cha Tanzania chenye kampasi yake kuu iliyopo ndani ya kata ya Ngarenaro, katika jiji la Arusha. ATC ni mojawapo ya taasisi kubwa na zilizoimarika za elimu ya umma baada ya elimu ya juu katika Mkoa wa Arusha. Chuo hicho kina kampasi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)

Filed in Ajira by on 09.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)

NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa mwaka 2005 kwaajili ya kutoa huduma za kihandisi katika fani za Umeme, Mitambo na Elektroniki, Ushauri wa Kiufundi na Huduma za Ushauri wa kitaalamu kwenye masuala ya Umeme na Elektroniki, Uendeshaji wa uhakika […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

Filed in Ajira by on 09.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 ikiwa ni Idara inayojitegemea chini ya iliyokuwa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Baada ya Serikali kuridhia kuibadili kutoka kuwa Idara ya Maendeleo ya Ushirika. […]

Continue Reading »