nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Platinum Credit Ltd

Filed in Ajira by on 27.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Platinum Credit Ltd

NAFASI Za Kazi Platinum Credit Ltd Platinum Credit Limited ni kampuni ya mikopo ya Micro-Finance pekee iliyopewa leseni nchini Tanzania chini ya Sheria ya Kampuni, na ilianzishwa mwaka 2005 ikiwa na maono ya kutoa mikopo ya dharura kwa Watumishi wa Umma ndani ya masaa 24. Platinum Credit Limited inatafuta Watu wenye nia, ari, pamoja na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Reveurse Tanzania

Filed in Ajira by on 27.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Reveurse Tanzania

NAFASI Za Kazi Reveurse Tanzania Reveurse Tanzania Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa nchini iliyoanzishwa ili kuleta masuluhisho kwa ulimwengu wa biashara kuhusu mchakato mzima wa uajiri kwa watahiniwa na makampuni. Reveurse Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari, sifa stahiki pamoja na ujuzi katika fani mbalimbali, na walio tayari kutoa mchango katika nafasi zilizoanishwa hapa chini. […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026

RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026 Klabu ya Simba SC itarejea dimbani kwa michezo kadhaa muhimu ya Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya mapumziko ya kimataifa. Ratiba Kamili ya Mechi Za Simba SC April 2026 02 April 2026 19:00 Simba SC vs Coastal Union 05 April 2026 19:00 Simba SC vs Azam FC […]

Continue Reading »

MASHABIKI Waiponza Simba SC

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
MASHABIKI Waiponza Simba SC

MASHABIKI Waiponza Simba SC Klabu ya Simba imetozwa faini ya Tsh. Milioni kumi kwa kosa la Mashabiki wake kuwarushia chupa za maji waamuzi wa mchezo wa mchezo wao wa sare ya 1-1 dhidi ya Pamba Jiji FC wakati wakitoka katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, tukio ambalo limetokea kwa […]

Continue Reading »

REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra

REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra Refa wa mchezo Kati ya Yanga na Mtibwa Sugar, Gilbert Mrina Kutoka Kilimanjaro, ameshushwa daraja kwa kosa la kushindwa kumchukulia hatua Djigui Diarra kwa utovu wa nidhamu alioonyesha katika mchezo huo. Refa msaidizi Katika mchezo huo, Abdulaziz Ally Kutoka Arusha yeye amefungiwa mizunguko mitano kwa kosa la kushindwa sheria ya […]

Continue Reading »

DIARRA Afungiwa na Kutozwa Faini

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
DIARRA Afungiwa na Kutozwa Faini

DIARRA Afungiwa na Kutozwa Faini Golikipa wa Klabu ya Yanga, Djigui Diarra amefungiwa kucheza michezo mitatu na kutozwa faini ya Shilingi milioni nne kwa makosa mawili ya kumshambulia Mwamuzi na kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya mchezo kati Mtibwa Sugar uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Adhabu hiyo imetolewa na Bodi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania

Filed in Ajira by on 27.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania

NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania Jaza Energy Inc ni Kampuni inayotoa huduma za betri zinazoweza kuchajiwa kwa kutumia nishati ya jua kwa kaya za vijijini, zisizotumia umeme wa gridi ya taifa nchini Tanzania Kwa kujenga “Vituo vya Nishati” vya ndani vinavyoendeshwa na wanawake wa eneo hilo (“Jaza Stars”). kampuni hiyo hutoa mfumo wa […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 26/03/2026

Filed in Ajira by on 27.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 26/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 26/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 27.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania Absa Bank Tanzania Limited ni benki ya Biashara nchini Tanzania na kampuni tanzu ya Absa Group Limited yenye makao yake nchini Afrika Kusini. Makao Makuu na tawi kuu la Benki ya benki hiyo yapo katika Barclays House, kando ya Mtaa wa Ohio, katika jiji la Dar es Salaam , […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi HR World Limited

Filed in Ajira by on 27.03.2026 2 Comments
NAFASI Za Kazi HR World Limited

NAFASI Za Kazi HR World Limited HR World Limited, inayofanya kazi nchini Tanzania, ni mbinu ya Usimamizi wa Rasilimali Watu (HRM) ambayo hutoa ufumbuzi mbalimbali wa Utumishi unaozingatia matokeo ya biashara. Shirika la HR World linatoa huduma za ushauri na mafunzo, kwa msisitizo maalum katika kutoa matokeo kwa biashara mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mashirika […]

Continue Reading »