nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

Filed in Elimu by on 17.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025 Benki ya CRDB imetoa fursa kwa vijana waliomaliza vyuo hivi karibuni kuanzia 2023/2025 kujiunga na CRDB kupitia “CRDB Bank Graduate trainee program” ambapo programu hii inalenga kukuza na kutambua vipaji changa ndani ya vijana kwa kuwapa nafasi ya kuanza kujifunza na kutengenezwa kuwa viongozi bora […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar

Filed in Ajira by on 17.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar

NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar Tume ya Utumishi wa Umma ni taasisi huru iliyoanzishwa na Serikali kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 chini ya Kifungu cha 117, 2010 na Ibara ya 33 (1) ya Sheria ya Utumishi wa Umma namba 2 ya mwaka 2011. Tume hiyo kwa ujumla ina jukumu la kusimamia […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 17.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025 Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji 128 wa nafasi za walimu wa kujitolea katika Shule za Msingi ambao hawakuripoti katika vituo vyao vya kazi walivyoomba kuanzia tarehe 18 hadi 31 Agosti, 2025 nafasi zao zimejazwa na waombaji waliokidhi vigezo ambao […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Misungwi District Council

Filed in Usaili by on 16.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Misungwi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Misungwi District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

NAFASI 1201 Za Madaktari Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 1201 Za Madaktari Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 1201 Za Madaktari Daraja la II MDAs & LGAs ✅DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER GRADE II) – Nafasi 1201 MAJUKUMU YA KAZI Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura. Kutoa na kusimamia elimu ya afya […]

Continue Reading »

NAFASI 1588 Za Msaidizi wa Afya Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 1588 Za Msaidizi wa Afya Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 1588 Za Msaidizi wa Afya Daraja la II MDAs & LGAs ✅MSAIDIZI WA AFYA DARAJA LA II (HEALTH ASSISTANT GRADE II) – Nafasi 1588 MAJUKUMU YA KAZI Kuchukua Sampuli za Maji na Chakula na kuzipeleka kwa afisa afya mazingira au afisa afya mazingira msaidizi. Kutambua na kuweka kumbukumbu ya vyanzo vya maji. Kuandaa ramani […]

Continue Reading »

NAFASI 292 Za Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 292 Za Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 292 Za Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs ✅AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) -Nafasi 292 MAJUKUMU YA KAZI Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio. Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio. Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora. Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi […]

Continue Reading »

NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 224 Za Afisa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs ✅AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) – Nafasi 224 MAJUKUMU YA KAZI Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha. Kuandaa taarifa mbalimbali za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 16.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09-11-2024 na tarehe 26-08-2025  kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama l yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye […]

Continue Reading »

NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs 

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs 

NAFASI 131 Za Wahasibu Daraja la II MDAs & LGAs ✅MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – Nafasi 131 MAJUKUMU YA KAZI Kuandika taarifa ya mapato na matumizi. Kuandika taarifa za maduhuli. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedhaKukagua […]

Continue Reading »