nijuze's Latest Posts

NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 1127 Za Wapishi Daraja la II MDAs & LGAs ✅MPISHI DARAJA LA II (COOK GRADE II) – Nafasi 1127 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa chakula cha wanachuo kulingana na Menyu na idadi ya wanachuo. Kupika chakula cha wanachuo. Kutoa ushauri kwa uongozi wa chuo kuhusu chakula cha wanachuo Kusimamia jiko. SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wahitimu […]

Continue Reading »

NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs

NAFASI 3945 Za Afisa Muuguzi Msaidizi II MDAs & LGAs ✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II) – Nafasi 3945 MAJUKUMU YA KAZI Kutoa huduma za uuguzi. Kukusanya takwimu muhimu za afya. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya. Kutoa huduma za kinga na uzazi; […]

Continue Reading »

NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs

NAFASI 17710 Za Kazi MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi 17,710 Mpya Za Kazi Kutoka MDAs & LGAs DONWLOAD PDF […]

Continue Reading »

NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs

NAFASI 3018 Za Walimu Daraja la IIIA MDAs & LGAs Duties and Responsibilities Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kigamboni Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 16.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kigamboni Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kigamboni Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council

Filed in Usaili by on 16.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council Kwa Madhumuni ya Uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council

Filed in Usaili by on 16.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa 11 Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na pamoja na kanuni ya ya Madiwani […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba SC Kilichoifuata Nsingizini Spurs CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 16.10.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba SC Kilichoifuata Nsingizini Spurs CAF Champions League 2025/2026

KIKOSI Cha Simba SC Kilichoifuata Nsingizini Spurs CAF Champions League 2025/2026 Kikosi cha Simba kitaondoka jijini Dar es salaam leo Alhamisi, Oktoba 16, kuelekea Eswatini kupitia Afrika Kusini, tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Spurs. Mchezo huo utapigwa tarehe Jumapili ya tarehe 19 […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 16.10.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026 Msafara wa wachezaji 24, benchi la ufundi na viongozi wa Yanga umeondoka leo kuelekea Malawi kwaajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya Makundi Michuano ya Ligi ya Mabingwa (CAF Champions League 2025/2026) dhidi ya Silver Strikers. Mchezo huo utapigwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi PATH Tanzania

Filed in Ajira by on 16.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi PATH Tanzania

NAFASI Za Kazi PATH Tanzania PATH Tanzania ni Shirika la afya linalofanya Kazi nchini Tanzania, kama vile kuboresha huduma za TB/VVU, kutengeneza mifumo ya afya ya kidijitali, na kuimarisha utayari wa janga. Shirika hilo linatoa Muhtasari wa Mipango nchini, mara nyingi kwa Ushirikiano na Serikali ya Tanzania na Mashirika Mengine kama Bill & Melinda Gates […]

Continue Reading »