nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025 

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025 

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. PRODUCER ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II DEREVA – TANROAD SECURITY OFFICER II SECURITY GUARD II PHOTOJOURNALIST II

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa mahojiano kwa kada zote ambazo mwajiri wake ni Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuwa kuna mabadiliko ya eneo la kufanyia […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini TFS Tanzania

Filed in Kuitwa Kazini by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini TFS Tanzania

KUITWA Kazini TFS Tanzania Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 06-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Arusha City Council

Filed in Ajira by on 07.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Arusha City Council

NAFASI Za Kazi Arusha City Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅DEREVA DARAJA LA II – NAFASI (06) – INARUDIWA MAJUKUMU YA KAZI […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa Kuzingatia Masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uvinza District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uvinza District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uvinza District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »