nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27/09/2025

Filed in Usaili by on 28.09.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27/09/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27/09/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika uliofanyika tarehe 27/09/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.   ARTISAN II IN MACHINE TOOLS ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II CONSERVATOR III (PUBLIC RELATIONS OFFICER) CONSERVATOR […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

Filed in Michezo by on 28.09.2025 0 Comments
MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025 Klabu ya Simba imefanikiwa Kufuzu hatua ya raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Gaborone United katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo Jumapili tarehe 28 September 2025. Bao la Simba lilifungwa na […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

Filed in Michezo by on 28.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

KIKOSI Cha Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025 Hiki hapa Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Gaborone United kwenye mchezo wa pili wa raundi ya Kwanza wa CAF Champions League 2025/2026.

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania

Filed in Ajira by on 28.09.2025 5 Comments
NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania

NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania Nafasi: Udereva Hill Group ni Muunganiko wa Makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka 2000 kama duka dogo la agrovet lililopo Mwenge, Dar es Salaam. Kwa miaka 24 sasa, Hill Group imejijengea heshima kubwa, ukuaji wa haraka, na kutambuliwa kwa jina katika […]

Continue Reading »

TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

Filed in Usaili by on 28.09.2025 0 Comments
TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Kwa waombaji wote walioitwa kwenye usaili, mnakumbushwa kuhusu utaratibu wa majina kwenye vyeti vyenu: Kama kuna tofauti ya herufi, ufupisho wa jina au matumizi ya majina mawili katika vyeti vya taaluma huku katika cheti cha kuzaliwa/Kitambulisho cha taifa au mpiga kura yapo matatu ambayo yamebeba mawili yanayoonekana katika […]

Continue Reading »

YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 28.09.2025 0 Comments
YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026 Klabu ya Yanga SC imefanikiwa Kufuzu hatua ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 5-0 dhidi ya Williete Sc ya Angola. Katika mchezo wa Kwanza Yanga SC ilishinda 3-0, kabla ya kumaliza kazi nyumbani Benjamin Mkapa […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TANROADS, OTR, TPA, IFM, MDAs & LGAs na EASTC 27/09/2025

Filed in Ajira by on 28.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TANROADS, OTR, TPA, IFM, MDAs & LGAs na EASTC 27/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili TANROADS, OTR, TPA, IFM, MDAs & LGAs na EASTC 27/09/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), MDAs & LGAs, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Chuo cha Takwimu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 28 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 27.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 28 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 28 September 2025

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Catholic University of Mbeya (CUoM)

Filed in Ajira by on 27.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Catholic University of Mbeya (CUoM)

NAFASI Za Kazi Catholic University of Mbeya (CUoM) Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mbeya (CUoM) ni Chuo Kikuu chenye mamlaka kamili kinachomilikiwa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), kilichopo Jijini Mbeya. Majengo makuu ya Chuo hicho yapo eneo la Msitu Mkongwe wa Mwanjelwa (Mafiati Junction) Jijini Mbeya. Chuo Kikuu hicho kina vipanuzi vingine vitatu vilivyopo […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga SC vs Wiliete SC 27 September 2025

Filed in Michezo by on 27.09.2025 0 Comments
MATOKEO Yanga SC vs Wiliete SC 27 September 2025

MATOKEO Yanga SC vs Wiliete SC 27 September 2025 Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wiliete SC katika mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF Champions League 2025/2026). Mabao mawili yaliyofungwa na Pacome Zouzoua dakika ya 70 na Aziz Andabwile dakika ya […]

Continue Reading »