nijuze's Latest Posts

RATIBA ya Mechi za Yanga SC 2025/2026

Filed in Michezo by on 18.09.2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Yanga SC 2025/2026

RATIBA ya Mechi za Yanga SC 2025/2026 Klabu ya Young Africans SC itaanza Kampeni yake ya kutetea Ubingwa wake wa Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2025/2026 dhidi ya Pamba Jiji FC tarehe 24 September 2025. Baada ya mchezo huo Young Africans itacheza mchezo wa Pili wa NBC Premier League dhidi ya Mbeya City FC […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi za Simba SC 2025/2026

Filed in Michezo by on 18.09.2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Simba SC 2025/2026

RATIBA ya Mechi za Simba SC 2025/2026 Klabu ya Simba SC itaanza Kampeni yake ya kusaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2025/2026 dhidi ya Fountain Gate FC tarehe 25 September 2025. Baada ya mchezo huo Simba itacheza mchezo wa Pili wa NBC Premier League dhidi ya Namungo FC ya Lindi tarehe 1 […]

Continue Reading »

Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 18.09.2025 0 Comments
Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026

Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inayosimamia Ligi Kuu ya NBC Ligi ya Championship ya NBC na First League, Ratiba, Matokeo na takwimu leo Ijumaa ya tarehe 29 Agosti 2025 imetangaza ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026. Ratiba hiyo inaonesha kuwa Ligi Kuu ya NBC Premier […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Qatar Airways

Filed in Ajira by on 18.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Qatar Airways

NAFASI Za Kazi Qatar Airways Kampuni ya Qatar Airways ni shirika la ndege ambalo huendesha mtandao wa kituo cha mazungumzo, na kuruka hadi zaidi ya vituo 170 vya kimataifa katika mabara matano kutoka kituo chake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad Mjini Doha nchini Qatar. Shirika hilo la ndege kwa sasa linaendesha kundi […]

Continue Reading »

MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II Tanroads

Filed in Usaili by on 18.09.2025 0 Comments
MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II Tanroads

MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II Tanroads Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. MCHANGANUO WA TAREHE ZA USAILI DEREVA II

Continue Reading »

MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya ICT Officer II Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

Filed in Usaili by on 18.09.2025 0 Comments
MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya ICT Officer II Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

MCHANGANUO wa tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya ICT Officer II Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Wasailiwa wa Kada ya ICT Officer II wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA ICT OFFICER II (APPLICATION PROGRAMMER) _ eGA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sumbawanga District Council

Filed in Ajira by on 18.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sumbawanga District Council

NAFASI Za Kazi Sumbawanga District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga anawatangazia Watanzania wenye sifa ya kufanya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kuomba nafasi kumi na tatu (13) zilizo tajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali cha mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 na kibali cha mwaka […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha tukio la mauaji lililotokea jioni ya Septemba 16, 2025 saa 12:50 katika Kitongoji cha Ululu, Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi ambapo Evaristo Zabroni Mwambogolo (28) Mkulima wa eneo hilo alichomwa kisu kifuani na kufariki dunia wakati akipelekwa Zahanati ya […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba Kilichoifua Gaborone United CAF Champions League 2025

Filed in Michezo by on 18.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba Kilichoifua Gaborone United CAF Champions League 2025

KIKOSI Cha Simba Kilichoifua Gaborone United CAF Champions League 2025 Klabu ya Simba kimewasili salama nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Gaborone United Kikosi kilichoondoka nchini kimejumuisha wachezaji 22 ambao wataipambania nembo ya Simba siku ya Jumamosi ya tarehe 20 September 2025. […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025

Filed in Usaili by on 17.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe anawatangazia Wasailiwa wote Kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la Il waliofauli usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 17/09/2025 kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 18/09/2025 saa 7:30 Asubuhi katika Jengo Jipya la Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya. Wasailiwa wanapaswa […]

Continue Reading »