nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Rungwe District Council

Filed in Ajira by on 19.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Rungwe District Council

NAFASI Za Kazi Rungwe District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Rungwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na moja (11) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅DEREVA II – NAFASI 4 MAJUKUMU YA KAZI […]

Continue Reading »

Tabora United Sasa ni TRA United Sports Club

Filed in Michezo by on 19.09.2025 0 Comments
Tabora United Sasa ni TRA United Sports Club

Tabora United Sasa ni TRA United Sports Club Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuujulisha umma kuwa, imekubaliana na waendeshaji wa timu ya Tabora United kuimiliki timu hiyo ambayo sasa itajulikana kwa jina la TRA United Sports Club. Timu hiyo ambayo inashiriki Ligi Kuu ya mpira wa Miguu ya Tanzania (NBC Premier League) ni ya […]

Continue Reading »

MATOKEO Wiliete SC vs Yanga 19 September 2025

Filed in Michezo by on 19.09.2025 0 Comments
MATOKEO Wiliete SC vs Yanga 19 September 2025

MATOKEO Wiliete SC vs Yanga 19 September 2025 Fuatilia Update zote za mchezo wa raundi ya awali ya CAF Champions League 2025/2026 Kati ya dhidi ya Wiliete SC ya Angola. 01′ Wiliete SC 0 – 0 Yanga SC (LIVE From 11 de Novembro Stadium, Angola) 02′ Wiliete SC 0 – 0 Yanga SC (LIVE From […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Dereva II na Wasaidizi wa Kumbukumbu II waliofanya usaili tarehe 15.09.2025 hadi tarehe 18.09.2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi hao waliofaulu usaili ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha waombaji kazi waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs Wiliete SC 19 September 2025

Filed in Michezo by on 19.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Wiliete SC 19 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Wiliete SC 19 September 2025 Klabu ya Young Africans itacheza mchezo wake wa Kwanza wa raundi ya awali ya CAF Champions League 2025/2026 dhidi ya Wiliete SC ya Angola Leo Ijumaa ya tarehe 19 September 2025 kwenye Uwanja wa 11 de Novembro nchini Angola Kuanzia Saa 12:00 Jioni. Kuelekea mchezo huo […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II waliofanya usaili tarehe 17-09-2025 na tarehe 18-09-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kigamboni City College of Health and Allied Sciences

Filed in Ajira by on 19.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kigamboni City College of Health and Allied Sciences

NAFASI Za Kazi Kigamboni City College of Health and Allied Sciences Kigamboni City College of Health and Allied Sciences (KICCOHAS) ni Chuo cha Binafsi cha Afya na Sayansi Shirikishi kilichosajiliwa na NACTE kwa namba za usajili REG/HAS/237. KICCOHAS, inatoa kozi za Afya za Washirika ambazo zinahitajika sana katika karne ya ishirini na moja ndani na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanguka kwa nafasi nne katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) vilivyotangazwa Septemba 18, 2025. Tanzania imedondoka kwa nafasi kutoka ya 103 ambayo ilikuwepo awali hadi nafasi ya 107 kwa viwango vilivyotolewa leo na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Vijana Cargo Limited

Filed in Ajira by on 19.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Vijana Cargo Limited

NAFASI Za Kazi Vijana Cargo Limited ✅Position: Social Media & Digital Marketing – 3 Posts Working Station: Dar es salaam Job type: Full Time Position Preview Vijana Cargo Limited are looking for a highly creative, versatile, and results-driven professional to join our team as a Social Media & Digital Marketing / Multimedia Specialist. The ideal candidate is a dynamic […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hesu Investment Limited

Filed in Ajira by on 18.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hesu Investment Limited

NAFASI Za Kazi Hesu Investment Limited ✅Position: Driver Manager Location: Dar Es Salaam Hesu Investment we are seeking a dedicated Driver Manager to join our team and contribute to our mission of fostering a positive work environment. Job Overview: The Driver Manager is responsible for overseeing and managing a fleet of company drivers or owner-operators […]

Continue Reading »