nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Mlimba District Council

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mlimba District Council

NAFASI Za Kazi Mlimba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT)

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT)

NAFASI Za Kazi Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT) Kwa niaba ya na Bodi ya Nafaka na Mazao Mengine Tanzania (COPBT), Utumishi wa Umma Sekretarieti ya Uajiri (PSRS) inakaribisha hali ya juu, yenye mwelekeo wa matokeo, inayoendeshwa binafsi wataalamu wenye uadilifu, mahiri na wanaofaa watanzania waliohitimu kujaza ishirini na saba (27) nafasi zilizo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council

Filed in Ajira by on 25.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council

NAFASI Za Kazi Tandahimba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya yaTandahimba anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi kumi na tano (15) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026

Filed in Usaili by on 25.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026 Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05/03/2026 hadi 06/03/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD […]

Continue Reading »

WALIMU Walioitwa Kazini Kyela District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.02.2026 0 Comments
WALIMU Walioitwa Kazini Kyela District Council

WALIMU Walioitwa Kazini Kyela District Council Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 25/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 25/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 25/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-02-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd

Filed in Ajira by on 24.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd

NAFASI Za Kazi Uchumi Bank Ltd Benki ya Biashara ya Uchumi (Uchumi Bank (UCB) Ltd ni benki ya biashara iliyosajiliwa nchini Tanzania, iliyoanzishwa kama mpango wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini (KKKT-ND) ikiwa na makao yake makuu Moshi, Kilimanjaro. Benki hiyo hutoa huduma za benki za kibiashara, ikiwa ni pamoja na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania

Filed in Ajira by on 24.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania

NAFASI Za Kazi PASS Trust Tanzania PASS Trust ni asasi iliyoanzishwa mwaka 2000 ikiwa ni mradi wa Serikali ya Tanzania chini ya Mpango wa Serikali ya Denmark wa kusaidia Kilimo, na ilianza kufanya kazi mwaka 2002, ambapo mwaka 2007 baada ya mafanikio ya mradi huo, ilisajiliwa rasmi kuwa PASS Trust. PASS Trust inatafuta watu wenye […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 24/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 24/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 24/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

Filed in Ajira by on 23.02.2026 3 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba, na kujaza nafasi za ajira ya Mkataba wa Kujitolea, kuleta maombi yao. Nafasi zinazotangazwa ni; – ✅DAKTARI II Mwombaji awe na Shahada katika fani ya Udaktari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, […]

Continue Reading »