nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 23/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 18-01-2026 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network

Filed in Ajira by on 23.02.2026 0 Comments
NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network

NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network Kampuni ya MIC Trust Investment Network inatangaza nafasi 500 za Kazi (Sales Person) kwaajili ya Kufungua account za CRDB Pamoja Lipa za CRDB kama ilivyoanishwa hapa chini. Nafasi: Sales Person (500 Position) Majukumu Kufungua account za CRDB Bank Kufungua Lipa za CRDB Bank Sifa na Vigezo Awe […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 22/02/2026

Filed in Usaili by on 23.02.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 22/02/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 22/02/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Selected Textile & Technology Selected Physics Selected HRM Selected Finance & Accounting Selected Cyber Selected (Economics &Statistics)

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MUHAS 21/02/2026

Filed in Usajili by on 21.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MUHAS 21/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili MUHAS 21/02/2026 Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 21/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 21/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 21/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027

Filed in Elimu by on 21.02.2026 0 Comments
UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027

UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki unapenda kuujulisha umma wa Watanzania kwamba Serikali ya Jamhuri ya Uturuki kupitia mpango wa ufadhili wa masomo (Türkiye Bursları) kwa mwaka 2026/2027, imeongeza muda wa kupokea maombi ya ufadhili wa masomo katika Shahada ya Kwanza, Uzamili na Shahada ya Uzamivu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jhpiego Tanzania

Filed in Ajira by on 20.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jhpiego Tanzania

NAFASI Za Kazi Jhpiego Tanzania Jhpiego nishirika la afya duniani ambalo limekuwa likifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 1999 kuboresha huduma za afya kwa familia. Jhpiego Wanashirikiana na serikali ya Tanzania, jumuiya za mitaa, na mashirika mengine kutoa masuluhisho ya huduma za afya ya hali ya juu, hasa kwa kulenga afya ya wanawake na watoto. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tandabui Polytechnic Institute

Filed in Ajira by on 20.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tandabui Polytechnic Institute

NAFASI Za Kazi Tandabui Polytechnic Institute Tandabui Polytechnic Institute (TPI) ni taasisi iliyosajiliwa na yenye ithibati kamili ya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi chini ya Baraza la Taifa la Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Nambari ya Usajili REG/HAS/117. Tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2012, Taasisi hiyo imeendelea kujitolea kutoa elimu […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 20/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 20/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 20/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-03-2025 na tarehe 16-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kyela District Council

Filed in Ajira by on 20.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kyela District Council

NAFASI Za Kazi Kyela District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »