nijuze's Latest Posts

VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026

Filed in Usajili by on 12.02.2026 0 Comments
VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026

VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026 Vituo vya Usaili wa Mahojiano Kwa Walimu wa Masomo ya Amali, Fizikia, Hisabati na Mkaguzi wa ndani Daraja la II (Internal Auditor II) utakaofanyika tarehe 14 February, 2026 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili vilivyoainishwa kwenye kiambatisho hapo  chini. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II 11/02/2026

Filed in Usaili by on 12.02.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II 11/02/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II 11/02/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. DEREVA II pdf

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026

Filed in Usaili by on 12.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026

KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026 Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17/02/2026 hadi 18/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/02/2026

Filed in Usaili by on 12.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania na Mji Tarime February 2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 12.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania na Mji Tarime February 2026

KUITWA Kazini Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania na Mji Tarime February 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-03-2025 na tarehe 19-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 11/02/2026

Filed in Usaili by on 11.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 11/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 11/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Mzumbe (MU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/02/2026 hadi 20/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)

Filed in Usaili by on 11.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)

KUITWA Kwenye Usaili Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/02/2026 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa […]

Continue Reading »

KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

Filed in Michezo by on 10.02.2026 0 Comments
KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya Klabu ya Al Nasr Benghazi ya Libya imekamilisha Usajili wa Mshambuliaji, Kibu Denis Kutoka Simba SC ya HAPA Tanzania. Uhamisho huu ni matokeo ya mazungumzo makini kati ya Simba na Al Nasr, ambapo pande zote zimeridhiana na masharti ya kiufundi na kifedha ya uhamisho. Mchezo wa ligi […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

Filed in Usaili by on 10.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote […]

Continue Reading »

NAFASI 210 Za Kazi TANROADS, MUWSSA, TEMESA, OSHA, IAA, NIT, MNH, BMH, GPSA, IRUWASA,TPSC, LST na Kituo cha Mambo ya Nje Mahusiano

Filed in Ajira by on 09.02.2026 0 Comments
NAFASI 210 Za Kazi TANROADS, MUWSSA, TEMESA, OSHA, IAA, NIT, MNH, BMH, GPSA, IRUWASA,TPSC, LST na Kituo cha Mambo ya Nje Mahusiano

NAFASI 210 Za Kazi TANROADS, MUWSSA, TEMESA, OSHA, IAA, NIT, MNH, BMH, GPSA, IRUWASA,TPSC, LST na Kituo cha Mambo ya Nje Mahusiano Kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Usalama na Afya Kazini Wakala wa Barabara (OSHA), Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Tanzania Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki (TEMESA), Ujenzi wa […]

Continue Reading »