nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini UTUMISHI 04/02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 05.02.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 04/02/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 04/02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-03-2025 na tarehe 19-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd

Filed in Ajira by on 05.02.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd

NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd Interchick Company Ltd ni kampuni ya Kitanzania iliyoanzishwa mwaka 1988. Interchick Company Ltd imekua ikiongoza kwa ufugaji wa kuku nchini Tanzania ambapo makao yake makuu yapo Jijini Dar Es Salaam, vifaa vyake ni pamoja na: Mashamba ya Wafugaji. Kiwanda cha Kutotolea Vifaranga. Kiwanda Cha Kusindika Kuku. Kinu Kinachozalisha Chakula […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

Filed in Usaili by on 03.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/02/2026 hadi 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bakhresa Group

Filed in Ajira by on 02.02.2026 3 Comments
NAFASI Za Kazi Bakhresa Group

NAFASI Za Kazi Bakhresa Group Bakhresa Group ni kampuni ya viwanda yenye makao yake makuu nchini Tanzania, Afrika Mashariki. Kampuni hiyo inamilikiwa na mfanyabiashara na bilionea wa Tanzania Said Salim Bakhresa, biashara hiyo ni mojawapo kubwa zaidi katika eneo hilo. Kampuni hiyo inafanya shughuli zake nchini Tanzania Bara na Zanzibar, Kenya, Uganda, Malawi, Msumbiji, Zambia, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)

Filed in Ajira by on 02.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)

NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ni Taasisi ya Kisheria inayomilikiwa kwa pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia kwa misingi ya umiliki wa hisa 50/50, ambapo Ofisi yake Kuu imesajiliwa Dar es Salaam, Tanzania. Mamlaka […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Mchujo Air Tanzania 2026

Filed in Usaili by on 02.02.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Mchujo Air Tanzania 2026

MATOKEO ya Usaili wa Mchujo Air Tanzania 2026 MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI, 2026 KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) NA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE) Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo tarehe 31 Januari, 2026 katika kada mbalimbali kuwa […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 30/01 na 01/02/2026

Filed in Usaili by on 02.02.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 30/01 na 01/02/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 30/01 na 01/02/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ARCHITECT II (1) ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER II (PLUMBING AND PIPE FITTING) BUSINESS DEVELOPMENT OFFICER II […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi DECCA College of Health and Allied Sciences (DECOHAS)

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi DECCA College of Health and Allied Sciences (DECOHAS)

NAFASI Za Kazi DECCA College of Health and Allied Sciences (DECOHAS) Chuo cha DECCA cha Afya na Sayansi Shirikishi (DECOHAS) kimesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Chuo hicho kinatoa programu za cheti na Stashahada ya Uuguzi na Ukunga, Sayansi ya Madawa, Sayansi ya Maabara ya Tiba, Tiba ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council

NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (4) za mkataba wa muda mfupi katika Manispaa ya Ubungo kwaajjili ya kuendesha Mtambo wa kuchonga na kuumba barabara (Greda), Mtambo wa kuchimba na kupakia (Excavator) na Mtambo wa kushindilia (Roller). DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi WWF Tanzania

Filed in Ajira by on 01.02.2026 3 Comments
NAFASI Za Kazi WWF Tanzania

NAFASI Za Kazi WWF Tanzania Shirika la WWF lililoanzishwa mwaka wa 1961 ndilo shirika kubwa zaidi la uhifadhi Duniani lenye wafuasi zaidi ya milioni 5 Duniani kote, likifanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na kusaidia karibu miradi 3,000 ya Uhifadhi na Mazingira. Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni ulipokua, katika miaka ya 70 na 80, ilianza […]

Continue Reading »