nijuze's Latest Posts

MSIMAMO wa First League Kundi A na B 2025/2026

Filed in Michezo by on 01.02.2026 0 Comments
MSIMAMO wa First League Kundi A na B 2025/2026

MSIMAMO wa First League Kundi A na B 2025/2026 Huu hapa Msimamo wa First League kundi A na B 2025/2026

Continue Reading »

NAFASI Za Internship BRAC Finance Limited

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Internship BRAC Finance Limited

NAFASI Za Internship BRAC Finance Limited BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL) ni sehemu ya moja ya mashirika makubwa ya maendeleo Duniani, yenye programu nyingi za maendeleo Duniani. BRAC inafanya kazi katika nchi 14 katika Asia na Afrika, BTFL ni taasisi maarufu ya mikopo midogo midogo nchini Tanzania, inatoa mikopo midogo hadi ya kati kupitia matawi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi ZAQ Group Ltd

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi ZAQ Group Ltd

NAFASI Za Kazi ZAQ Group Ltd Kampuni ya ZAQ GROUP LTD yenye makao yake makuu Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi kwaajili ya kiwanda chake cha ushonaji kinachofahamika kwa jina la biashara Streetcode. ✅NAFASI: Mafundi wa Kushona (4) MAJUKUMU YA KAZI: Kushona bidhaa kwa kutumia mashine za viwandani. Kuhakikisha ubora wa bidhaa kulingana na […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 31/01/2026

Filed in Usaili by on 01.02.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 31/01/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 31/01/2026 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI uliofanyika tarehe 31/01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ICT OFFICER II _APPLICATION PROGRAMMER_WEB DEVELOPER MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI […]

Continue Reading »

MSIMAMO NBC Championship 2025/2026

Filed in Michezo by on 01.02.2026 0 Comments
MSIMAMO NBC Championship 2025/2026

MSIMAMO NBC Championship 2025/2026 Ligi ya Daraja la Kwanza, maarufu NBC Championship Tanzania, ni moja ya michuano inayovutia mashabiki wengi nchini Tanzania. Ligi ya Championship ni ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania nyuma ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League), na inatoa nafasi kwa timu kuonyesha vipaji na Kupanda Daraja kwenda Ligi Kuu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR)

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR)

NAFASI Za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Kwa niaba ya na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Ajira katika Utumishi wa Umma Sekretarieti (PSRS) inakaribisha watanzania wenye sifa zinazofaa kujaza nafasi ishirini na sita (26) kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT

NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Almaha Travel and Tours Company Limited, inawatangazia Watanzania wenye umri kati ya miaka 25 hadi 50 kuwasilisha maombi ya ajira kwa ajili ya kujaza nafasi 1,150 za madereva, zilizotolewa na Kampuni ya MOWASALAT ya nchini Qatar. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Alistair Group

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Alistair Group

NAFASI Za Kazi Alistair Group Alistair Group ni mojawapo ya Makampuni ya huduma yanayokuwa kwa kasi zaidi Afrika Mashariki na Kusini, ikitoa masuluhisho mbalimbali ya vifaa yaliyojiletea yenyewe katika jiografia kadhaa, yenye lengo la maono ya Kufanya Afrika Ifanye Kazi Bora! Kwa umahiri wa kimsingi katika usafirishaji wa mizigo barabarani, kuhifadhi, biashara ya bidhaa na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania

Filed in Ajira by on 31.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania

NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania Simba SC ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika kata ya Kariakoo katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam nchini Tanzania . Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 inatangaza nafasi Za Kazi Kwa Watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD […]

Continue Reading »

BUBA Jammeh ni Mwananchi

Filed in Usajili, Michezo by on 31.01.2026 0 Comments
BUBA Jammeh ni Mwananchi

BUBA Jammeh ni Mwananchi Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa winga wa kulia, Buba Jammeh, mwenye umri wa miaka 24, kutoka Wiliete Interclube ya Kwao Angola. Jammeh, ambaye anatarajiwa kuongeza nguvu katika eneo la ushambuliaji, amesaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa hao wa Tanzania. Buba Jammeh ni mchezaji mwenye spidi nzuri na uwezo […]

Continue Reading »