nijuze's Latest Posts

BARAKA Mwangosi Kutua Simba SC

Filed in Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
BARAKA Mwangosi Kutua Simba SC

BARAKA Mwangosi Kutua Simba SC Baada ya kuridhishwa na kiwango alichoonyesha kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi, klabu ya Simba inatajwa kufungua mazungumzo na Mbeya City kwaajili ya kumsajili mshambuliaji Baraka Mwangosi. Simba ilimpa Mwangosi nafasi ya kufanya majaribio visiwani Zanzibar ili kujiridhisha na uwezo wake. Inaelezwa kuwa benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na […]

Continue Reading »

KHADIM Diaw Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 15.01.2026 0 Comments
KHADIM Diaw Kutua Simba SC

KHADIM Diaw Kutua Simba SC Klabu ya Simba imetajwa kuwa Katika hatua nzuri Kukamilisha Usajili wa Mlinzi wa kushoto raia wa Mauritania, Khadim Diaw. Diaw mwenye Umri wa miaka 27 anatua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na waajiri wake wa zamani Al Hilal FC. Katika dirisha lililopita, Simba ilifanya jitihada kubwa za kumsajili […]

Continue Reading »

NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 15.01.2026 0 Comments
NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC

NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC Klabu ya Simba inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa Congo Brazzaville, Ndongani Samba Gilbani mwenye Umri wa Miaka 25 Kutoka Asante Kotoko ya Ghana. Inaelezwa usajli wa beki huyo mahiri ambaye ni nahodha wa Asante Kotoko ni pendekezo la kocha Stave Barker […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026

Filed in Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026

KIKOSI Cha Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026 Mchezo unaofuata wa Young Africans utakuwa dhidi ya Mashujaa FC tarehe 19 January 2026. Kuelekea mchezo huo ambao utapigwa Kuanzia Saa 10:00 Jioni Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mashujaa FC kabla ya mchezo Kuanza.

Continue Reading »

LAURINDO Dilson Maria Aurelio “DEPU” ni Mwananchi

Filed in Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
LAURINDO Dilson Maria Aurelio “DEPU” ni Mwananchi

LAURINDO Dilson Maria Aurelio “DEPU” ni Mwananchi Klabu ya Young Africans imekamilisha Usajili wa mshambuliaji Laurindo Dilson Maria Aurelio “DEPU” raia wa Angola Kutoka Radomiak inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Poland. Depu amewahi kuvitumikia vilabu vya Petro de Luanda ya Angola, Gil Vicente ya Ureno na Vojvodina ya Serbia. Depu pia ameitumikia timu ya […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026

Filed in Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
MATOKEO Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026

MATOKEO Yanga vs Mashujaa FC 19 January 2026 Klabu ya Yanga itacheza mchezo wake unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa Fc. Mchezo huo utapigwa Jumatatu ya January 19,2026 katika uwanja wa KMC Complex Kuanzia Saa 10:00 Jioni. Update zote za Kuanzia dakika ya Kwanza hadi ya 90 utazipata hapa hapa Nijuze Habari. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tabora Municipal Council

Filed in Ajira by on 15.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tabora Municipal Council

NAFASI Za Kazi Tabora Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilolo District Council

Filed in Ajira by on 15.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilolo District Council

NAFASI Za Kazi Kilolo District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuomba nafasi (08) za kazi baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 15.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 14/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI 15 Za Kazi BFS Microfinance Limited

Filed in Ajira by on 14.01.2026 0 Comments
NAFASI 15 Za Kazi BFS Microfinance Limited

NAFASI 15 Za Kazi BFS Microfinance Limited ✅Position: Experienced Recovery Officers – 5 Positions Based in Mwanza Responsibilities;  Recovery officer is responsible for recoveries of outstanding debts as he/she will be assigned. Develop recovery strategy for each case and follow up implementation of the approved  strategy to ensure maximum recoveries are made in line with the business […]

Continue Reading »