nijuze's Latest Posts

TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia

TANZIA Raila Odinga Afariki Dunia Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki Dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini India kwa matibabu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi Chuo Kikuu cha Ardhi ni chuo kikuu cha umma kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Chuo hicho Kilianzishwa rasmi tarehe 28 Machi 2007 ingawa kimekuwa kikitoa mafunzo kwa zaidi ya miaka 60 sasa. Chuo Kikuu cha Ardhi Kiko jirani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili CBE na MDAs & LGAs 14/10/2025

Filed in Usaili by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili CBE na MDAs & LGAs 14/10/2025

KUITWA Kwenye Usaili CBE na MDAs & LGAs 14/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/10/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 13/10/2025

Filed in Usaili by on 14.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 13/10/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 13/10/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI uliofanyika tarehe 13/10/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi. CONSERVATION RANGER II – ASSISTANT WILDLIFE MANAGEMENT OFFICER CONSERVATOR III – WILDLIFE MANAGEMENT PILOT […]

Continue Reading »

VITUO vya Usaili wa Mahojano wa MDAs & LGAs utakaofanyika tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2025

Filed in Usaili by on 14.10.2025 0 Comments
VITUO vya Usaili wa Mahojano wa MDAs & LGAs utakaofanyika tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2025

VITUO vya Usaili wa Mahojano wa MDAs & LGAs utakaofanyika tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2025 Fika katika kituo ulichopangiwa kwa ajili ya Usaili wakati ukiwa umevaa mavazi nadhifu na yenye Staha VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO WA MDAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 – 24 OKTOBA, 2025

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025

KUITWA Kazini Wizara ya Afya 14/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

Filed in Usajili by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

Filed in Usaili by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council Kwa kuzingatia kifungu cha 6 (6) cha sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024 kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ilemela […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mpanda Town Council

Filed in Usajili by on 14.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mpanda Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mpanda Town Council KWA MADHUMUNI YA UENDESHAJI WA UCHAGUZI MKUU NA KWA KUZINGATIA MASHARTI YA KIFUNGU CHA 6 (6) CHA SHERIA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI NA. 1 YA MWAKA 2024, KIKISOMWA PAMOJA NA KANUNI YA 11 YA KANUNI ZA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI […]

Continue Reading »