nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Uchaguzi wa Udahili Kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) Kwa Kozi za Afya na Sayansi Shirikishi 2025/2026 Awamu ya Tatu

Filed in Elimu by on 05.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Uchaguzi wa Udahili Kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) Kwa Kozi za Afya na Sayansi Shirikishi 2025/2026 Awamu ya Tatu

MATOKEO ya Uchaguzi wa Udahili Kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) Kwa Kozi za Afya na Sayansi Shirikishi 2025/2026 Awamu ya Tatu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya tatu kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Iringa

Filed in Elimu by on 05.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Iringa

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Iringa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Iringa. Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Iringa tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 IRINGA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket

Filed in Ajira by on 05.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket

NAFASI Za Kazi West Zone Supermarket Positions: Cashiers (5 posts) Location: Dar es Salaam Responsibilities  Monitoring the front desk and answering incoming calls, greeting customers as they enter the gym , and answering questions about the facility services Processing member’s applications and fees  and issuing memberships Collecting payment from members for gym services rendered Explaining facility policies […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Isamilo International School

Filed in Ajira by on 05.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Isamilo International School

NAFASI Za Kazi Isamilo International School Isamilo International School has teaching assistant positions available for Tanzanian teachers Only. ✅Position: Teaching Assistant – 2 Posts Academic qualification At least a Degree in Education Experience teaching in an International Setting. Fluent in spoken and written English and Swahili Ability to get on well with people of diverse […]

Continue Reading »

MCHANGANUO wa Tarehe wa Usaili wa Vitendo Kada ya Security Guard II

Filed in Usaili by on 05.10.2025 0 Comments
MCHANGANUO wa Tarehe wa Usaili wa Vitendo Kada ya Security Guard II

MCHANGANUO wa Tarehe wa Usaili wa Vitendo Kada ya Security Guard II Wasailiwa ambao majina yao yameorodheshwa kwenye kiambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA KADA YA SECURITY GUARD II

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 04/10/2025

Filed in Usaili by on 05.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 04/10/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 04/10/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Uliofanyika Tarehe uliofanyika tarehe 04/10/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ARTISAN II IN PAINTING OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II (1) ARTISAN II IN CARPENTRY […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 05.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutahadharisha umma kuhusu uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuchochea mijadala inayolenga kulihusisha jeshi hilo katika masuala ya kisiasa, likisisitiza kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba. Taarifa iliyotolewa Jumamosi, Oktoba 4, 2025 jijini Dodoma […]

Continue Reading »

VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026

Filed in Elimu by on 04.10.2025 0 Comments
VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026

VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa dirisha la udahili kwa kozi za muda mrefu katika vyuo vya VETA limeongezwa kuanzia tarehe 03 hadi tarehe 17 Oktoba, 2025. Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council

Filed in Usaili by on 04.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council

Filed in Usaili by on 04.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »