Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 27.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025 Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuanza huduma ya usafirishaji mizigo kwa njia ya reli ya kisasa ya SGR kati ya Pugu jijini Dar es Salaaam na stesheni ya lhumwa, Dodoma. Reli hiyo ya SGR kwa sasa inaendelea kutumiwa na abiria pekee kati ya Dar es Salaam […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 26 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 25.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 26 June 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 26 June 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2024/2025. Rais Samia ameandika kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa: “Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 25 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 25.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 25 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 25 June 2025 Bajeti ya serikali kwa mwaka 2025/2026 ya Sh.trilioni 56.49 imepitishwa kwa kura za ndiyo 373 sawa na asilimia 98.7. Akisoma matokeo ya upigaji kura ya bajeti bungeni leo, Spika wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, amesema idadi ya kuwa wabunge ni 392 na nafasi wazi ni moja. Amesema idadi ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 24 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 24.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 24 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 24 June 2025 Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuhamisha Kenan Laban Kihongosi kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Paul Christian Makonda. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais leo June 23 2025 haijatoa taarifa zaidi kuhusu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 23 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 23.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 23 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 23 June 2025 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Wizara hiyo itaendelea kuwalinda Watanzania kwa kusimamia maudhui mbalimbali mtandaoni ikiwamo mitandao ya kijamii ili kuhakikisha sheria na taratibu za nchi zinafuatwa ambapo amesema mtandao wa X umefungwa Tanzania kwakuwa unaruhusu maudhui ya ngono. Akiongea June 22,2025 Jijini […]

Continue Reading »