Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 07 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 07.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 07 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 07 July 2025 Haya hapa Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu tarehe 7 July 2025. Klabu ya Simba SC ni miongoni mwa timu tano ambazo hazitocheza michezo ya hatua ya awali ili kuingia kwenye makundi ya Ligi ya Mabingwa badala yake wataanzia raundi ya pili. Orodha kamili imeambatanishwa hapa chini. ✅ Al […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 06.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025 Chuo cha JKT kimewakaribisha vijana waliohitimu darasa la saba kujiunga na mafunzo mbalimbali yatakayowawezesha kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku. Wito huo umetolewa Jumamosi ya Julai 5, 2025 na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), Kanali Shija […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 05.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025 Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang’oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho. Akitangaza ripoti ya usahili wa uchaguzi huo Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Wakili Kiomoni Kibamba, amesema kuwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 04.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 July 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 July 2025 Ni siku iliyojaa huzuni, maumivu makali yasiyoelezeka, wakati familia 36 kati ya 42 zikiaga miili ya ndugu zao waliofariki ajalini Same, mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya Hospitali Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC. Katika ajali hiyo zipo baadhi ya familia zimebaki bila baba, mama, babu, bibi, dada na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 03 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 03.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 03 July 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 03 July 2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, ambaye pia ni Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Ruangwa, ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hatua iliyoshangaza wengi, hasa baada ya kauli zake za awali kuashiria nia ya kuwania tena nafasi hiyo. Katika hotuba yake ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 02 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 02.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 02 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 02 July 2025 Wakati mwaka mpya wa fedha ukianza, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemaliza mwaka wa fedha 2024/2025 kwa mafanikio, ikivuka lengo la makusanyo yake na kuandika historia mpya ya ukusanyaji. Katika mwaka huo wa fedha, lengo lilikuwa kukusanya Sh31.5 trilioni, ila hadi kufikia Juni 30, makusanyo yalifikia Sh32.2 trilioni, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 30.06.2025 1 Comment
MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025 Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said, amesema kuwa kati ya ahadi tano walizotoa walipopewa dhamana ya kuiongoza klabu hiyo, moja ndiyo bado haijatimizwa. Amezitaja ahadi hizo kuwa ni kufanya mabadiliko ya kiutendaji ndani ya klabu, kuimarisha kikosi, kuhakikisha Yanga inajitegemea kifedha, na kujenga uwanja wake wa kisasa. […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 30.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025 Kiungo wa Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma ametangaza kuondoka Klabuni hapo ikionekana kuwa mpango wa kuongeza mkataba mpya umeshindikana. Mkataba wa Ngoma aliyejiunga na Simba, Julai 2023 akitokea Al Hilal ya Sudan, unafikia tamati mwezi ujao. Kutokana na hilo, Ngoma ametumia ukurasa wake wa Instagram kuiaga Simba. Kupitia […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 29 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 29.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 29 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 29 June 2025 SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nyota wa Gambia, Gibril Sillah ametangaza kuondoka Azam FC baada ya kuitumikia kwa miaka miwili. Mshambuliaji huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kuiaga klabu hiyo akisema imekuwa sehemu ya familia yake kwa muda alioichezea. “Asante Azam FC […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 28.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ratiba ya michezo ya fainali za CHAN 2024, ambapo wenyeji Tanzania watafungua michuano hiyo kwa kuikabili Burkina Faso Uwanja wa Benjamim Mkapa Agosti 02, saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Tanzania ipo Kundi B sambamba na timu za […]

Continue Reading »