MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.10.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, umezikwa kwa heshima ya kitaifa nyumbani kwake Kang’oka Jaramogi, Bondo, Kaunti ya Siaya.

Baada ya ibada maalumu iliyofanyika katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga University mwili wa Raila ulipelekwa nyumbani kwake kwa mazishi ya kifamilia yaliyofanyika kwa faragha, yakihudhuriwa na ndugu wa karibu pekee.

Katika kaburi lake walifika watu wachache wakiwemo maofisa wa usalama waliobeba jeneza hilo pamoja na viongozi wa dini kwaajili ya sala fupi kabla ya maziko.

Kiongozi huyo alifariki akiwa na umri wa miaka 80 ambapo amezikwa na kofia yake pendwa iliyowekwa juu ya jeneza lake.

Mazishi hayo yalitanguliwa na ibada maalumu ambapo viongozi mbalimbali walitoa salamu zao za rambirambi, wakimtaja Raila kama kiongozi jasiri aliyepigania demokrasia na haki za wananchi bila kuchoka.

Wengi walisisitiza kuwa urithi wake utabaki kuwa dira kwa kizazi kijacho cha viongozi wa Afrika Mashariki.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *