nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini UTUMISHI 25 September 2025

Filed in Ajira by on 25.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 25 September 2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 25 September 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-11-2024 na tarehe 10-09-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

Filed in Usaili by on 25.09.2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili utakaofanyika kwa njia ya Mtandao (OATS) Mkoa wa Ruvuma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili. Usaili utafanyika VETA- SONGEA badala ya Chuo cha Ualimu Songea kama ilivyoainishwa kwenye akaunti zenu za ajira portal. Muda na tarehe utabaki hivyo hivyo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

Filed in Ajira by on 25.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Rufiji anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kwa kada mbili (02) katika Halmashauri hiyo baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025

Filed in Michezo by on 25.09.2025 0 Comments
MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025

MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025 Klabu ya Simba SC imeanza vyema kampeni ya kusaka Ubingwa wa Ligi Kuu Msimu wa 2025/2026 baada ya kuibuka na Ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopigwa Leo Alhamisi ya tarehe 25 September 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 25.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua, Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu, nafasi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Kidao Wilfred. Taarifa iliyotolewa leo Septemba 24, 2025 na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, imesema uteuzi wa Mirambo utaanza rasmi Oktoba 1, 2025 mara baada […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Heart to Heart Foundation

Filed in Ajira by on 25.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Heart to Heart Foundation

NAFASI Za Kazi Heart to Heart Foundation ✅Position: Project Officer Location: Lindi Town Duration: One Year contract and extendable Heart to Heart Foundation (HtHF) is planning to implement WASH projects in Mtama district, Tanzania and it currently looking for an experienced Project Officer to oversee the project implementation Project Summary: The Community-Led WASH Improvement Initiative […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI)

Filed in Ajira by on 24.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI)

NAFASI Za Kazi Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) UMATI wishes to recruit a qualified and experienced candidate to fill in the following vacant position; ✅Position: Medical Officer In-charge Reporting to: Clinic Service Manager Location: Mbinga Job Purpose: The Incumbent is responsible for overseeing the day-to-day management of the clinic and its operations. S/he will […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili NECTA, MDAs & LGAs, TBC, MPRU, DMI, OTR, CBE, TAEC, TPA, TANROADS, TUWASA, TAWA, NBS, NIT, TASAC, IFM, IRDP na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Filed in Usaili by on 24.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili NECTA, MDAs & LGAs, TBC, MPRU, DMI, OTR, CBE, TAEC, TPA, TANROADS, TUWASA, TAWA, NBS, NIT, TASAC, IFM, IRDP na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

KUITWA Kwenye Usaili NECTA, MDAs & LGAs, TBC, MPRU, DMI, OTR, CBE, TAEC, TPA, TANROADS, TUWASA, TAWA, NBS, NIT, TASAC, IFM, IRDP na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Wizara ya Ardhi, Nyumba na […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025

Filed in Michezo by on 24.09.2025 0 Comments
MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025

MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025 Klabu ya Yanga imeanza vyema msimu Mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Kwa Kuibuka na Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopigwa Leo tarehe 24 September 2025 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam. Bao la Kwanza lililofungwa Lassine […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs Pamba Jiji 24 September 2025

Filed in Michezo by on 24.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Pamba Jiji 24 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Pamba Jiji 24 September 2025

Continue Reading »