nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Jumatano 24 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 24.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 24 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 24 September 2025 UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA TIMU YA PAMBA JIJI FC KUFANYA MAZOEZI GIZANI Kufuatia taarifa inayosambaa mitandaoni ikionesha wachezaji wa timu ya Pamba Jiji FC wakifanya mazoezi gizani katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inapenda kuufahamisha umma kuwa timu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe

Filed in Ajira by on 23.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe kuomba nafasi za kazi za mkataba zilizotajwa hapo chini kuwasilisha maombi yao. Nafasi Zilizotangazwa na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ni kama ifuatavyo; ✅MTEKNOLOJIA […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Usangi na Mwanga

Filed in Ajira by on 23.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Usangi na Mwanga

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Usangi na Mwanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za Ajira ya Mkataba ili waweze kufanya kazi katika Hospitali za Usangi na Hospitali ya Wilaya Mwanga. ✅MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOGRAFA – RADIOLOJIA (Radiographer). SIFA ZINAZOHITAJIKA: Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia Radiografa/Mionzi […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025

Filed in Usaili by on 23.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025

KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwaarifu Waombaji wa nafasi za muda kupitia program maalum ya kuendeleza zao la Parachichinchini zilizotangazwa tarehe 29.08.2025 kwamba usaili wa nafasi hizo umepangwa kufanyika tarehe 26.09.2025 katikaKampasi ya Edward Moringe Mjini Morogoro. Waombaji watakaofaulu katika […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 23 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 23.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 23 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 23 September 2025 Muda mfupi baada ya Fadlu Davids kuiaga Simba, Klabu ya Raja Casblanca ya Morocco imemtangaza rasmi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo. ‎ ‎Kupitia taarifa yake kwa umma ambayo imeitoa leo, Septemba 22, 2025, Raja Casablanca imesema kuwa Fadlu Davids anajiunga nao kuchukua nafasi ya Lassad Chabbi […]

Continue Reading »

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

Filed in Michezo by on 22.09.2025 0 Comments
HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC Klabu ya Simba imemtangaza Hemed Suleiman (Morocco) kuwa kocha mkuu wa muda kwenye michezo ya kimataifa. Hatua hiyo imetokana na kuondoka kwa kocha Fadlu Davis na kocha msaidizi, Suleiman Matola kupewa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Gaborone United.

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 22/09/2025

Filed in Usaili by on 22.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 22/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 22/09/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda Kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24/10/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi St.Joseph Hospital

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi St.Joseph Hospital

NAFASI Za Kazi St.Joseph Hospital ✅Position: Medical Doctor Reports To: Medical Director / CEO Location: Kibada-Kigamboni Employment Type: Full-Time Job Purpose The Medical Doctor will be responsible for providing high-quality medical care to patients, ensuring accurate diagnosis, treatment, and follow-up. The role involves working with multidisciplinary teams to promote patient well-being, implementing preventive healthcare measures, and […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi UN Women Tanzania

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi UN Women Tanzania

NAFASI Za Kazi UN Women Tanzania UN Women Tanzania kazi yake ni kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake nchini. UN Women inaangazia uongozi wa wanawake, uwezeshaji wa kiuchumi, kukomesha unyanyasaji dhidi ya wanawake, na haki za wanawake na upatikanaji wa haki. Kazi za UN Women nchini Tanzania zinawiana na malengo ya maendeleo ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Prime Zone Limited

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Prime Zone Limited

NAFASI Za Kazi Prime Zone Limited Prime Zone Limited seeking qualified personnel’s to join its term in below areas: ✅Position: Accoutant (1 Post -Dar es Salaam) Duties and responsibilities Follow up on overdue invoices and negotiate payment arrangements Ensure accurate and timely billing and monitor customer payments Reconcile accounts and resolve discrepancies Prepare account payable […]

Continue Reading »