nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 21.09.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025

KUITWA Kazini Dar es Salaam City Council 19/09/2025 Mkurugenzi wa Halmashaurii ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwataarifa waombaji kazi wa nafasi za Udereva Daraja la II, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II waliofanya usaili kati ya tarehe 14/09/2025 hadi 18/09/2025 matokeo yapo tayari. Waliofaulu usaili huo […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs Gaborone United 20 September 2025

Filed in Michezo by on 20.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba vs Gaborone United 20 September 2025

KIKOSI Cha Simba vs Gaborone United 20 September 2025 Simba SC itacheza mchezo wake wa Kwanza wa raundi ya awali ya CAF Champions League 2025/2026 dhidi ya Gaborone United ya Botswana Leo Jumamosi tarehe 20 September 2025 kwenye Uwanja wa Francistown nchini Botswana Kuanzia Saa 2:00 Usiku. Kuelekea mchezo huo hiki hapa ni Kikosi Cha Simba […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)

Filed in Ajira by on 20.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)

NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC) Danish Refugee Council (DRC) ni shirika la kibinadamu lililoanzishwa mwaka 1956 linalotoa usaidizi, kulinda, kutetea na kujenga mustakabali endelevu kwaajili ya wakimbizi na watu wengine walioathiriwa na kuhama kwao. DRC imekuwa ikitekeleza miradi ya dharura nchini Tanzania tangu kuanza kwa mgogoro wa wakimbizi wa Burundi mwaka 2015 katika […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi US Embassy Tanzania

Filed in Ajira by on 20.09.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi US Embassy Tanzania

NAFASI Za Kazi US Embassy Tanzania Ubalozi ni ujumbe wa kidiplomasia unaowakilisha nchi katika taifa lingine, kutoa huduma kama vile usindikaji wa visa na kukuza biashara na utalii. Tanzania ina balozi na kamisheni kuu duniani kote za kukuza uhusiano wa kimataifa, kuvutia uwekezaji na kuhudumia raia wake nje ya nchi. Misheni hizi hufanya kazi kama […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mastercard Tanzania

Filed in Ajira by on 20.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mastercard Tanzania

NAFASI Za Kazi Mastercard Tanzania Mastercard nchini Tanzania inatoa kadi halisi za benki na za mtandaoni kupitia benki za ndani na watoa huduma za pesa kwa njia ya simu, kuruhusu upatikanaji wa fedha kwenye ATM, maeneo ya wafanyabiashara na kwa ununuzi wa mtandaoni. Benki kuu kama Benki ya NMB na GTBank Tanzania hutoa kadi za […]

Continue Reading »

MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025

Filed in Michezo by on 20.09.2025 0 Comments
MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025

MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025 Klabu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United katika mchezo wa kwanza raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali. Mchezo huh ulipigwa kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, zamani Francistown Sports Complex mjini Francistown, Botswana. Bao pekee […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 20.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025 Baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumuita aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutoa maelezo na ushahidi wa tuhuma alizoibua mtandaoni, yeye amesema ipo nia njema na ovu kwenye wito huo. Kwa mujibu wa Polepole, ipo dhamira njema na ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania

Filed in Ajira by on 19.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania

NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania Shirika la UNESCO nchini Tanzania, lililoanzishwa mwaka 1974, linalenga kusaidia Maendeleo ya Taifa kupitia Elimu, Sayansi, Utamaduni, Mawasiliano na Habari. Shirika hilo linashirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo serikali na asasi za kiraia katika kuimarisha amani, kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo endelevu. Tanzania pia ni nyumbani kwa maeneo kadhaa ya Urithi […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

Filed in Usaili by on 19.09.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania Kamanda wa Kanda-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi za Mkataba wa mwaka Mmoja kwa Tangazo lenye Kumb.AC.18/88/01B/42 la tarehe 12/08/2025 kuwa Usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22/09/2025 Mpaka tarehe 23/09/2025 na […]

Continue Reading »

GOLI la Mama CAF 2025/2026 Kuanzia hatua ya awali

Filed in Michezo by on 19.09.2025 0 Comments
GOLI la Mama CAF 2025/2026 Kuanzia hatua ya awali

GOLI la Mama CAF 2025/2026 Kuanzia hatua ya awali Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC pamoja na Singida Black Stars ambazo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu Bingwa na Shirikisho. Msigwa […]

Continue Reading »