nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 15.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025 Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Zanzibar Septemba 14, 2025, baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Kigoma. Ujio wake unaashiria kuanza kwa awamu nyingine ya kampeni za kuomba ridhaa ya Wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu ujao. Dkt. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Selcom Tanzania

Filed in Ajira by on 15.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Selcom Tanzania

NAFASI Za Kazi Selcom Tanzania Selcom ni watoa huduma wa huduma za kifedha na malipo wa Pan African, inayowapa wateja wake kote Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, na aina kamili ya bidhaa na huduma za malipo za kielektroniki zinazozingatia huduma za kidijitali, kadi na uchakataji bila kadi. Selcom ni kampuni ya kibinafsi inayomilikiwa na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 14.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025 Uongozi wa klabu ya Simba leo umekutana na wachezaji na benchi la Ufundi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumanne kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Ally Mangungu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TOL Gases Limited

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TOL Gases Limited

NAFASI Za Kazi TOL Gases Limited Job Title: Plant Operator Number of Positions: 3 Location: Mbeya Key Qualifications Education: Diploma in Electro-Mechanical Engineering, Chemical Engineering, or Processing Engineering Experience: 1 year in a manufacturing environment Professional Membership: Membership with an engineering board is an advantage Language Skills: Fluent in both written and spoken English and Swahili Nafasi […]

Continue Reading »

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Tarehe 29, Oktoba, Serikali yake ndani ya siku 100 itaajiri watumishi 5,000 wa kada ya Afya na 7,000 wa kada ya […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Ukumbi wa Kufanyia Usaili wa Mchujo Temeke Municipal Council

Filed in Usaili by on 13.09.2025 0 Comments
MABADILIKO ya Ukumbi wa Kufanyia Usaili wa Mchujo Temeke Municipal Council

MABADILIKO ya Ukumbi wa Kufanyia Usaili wa Mchujo Temeke Municipal Council Mabadiliko ya Ukumbi wa Kufanyia Usaili wa Mchujo Kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili kwa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu II kuwa kuna mabadiliko ya ukumbi […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 2025

Filed in Usaili by on 13.09.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali 2025. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI JINA YA NYONGEZA 13-09-2025 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MAJINA YA NYONGEZA 13-09-2025 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE MAJINA YA NYONGEZA 13-09-2025 TANGAZO LA KUITWA […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Global TV

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Global TV

NAFASI Za Kazi Global TV Global TV inatangaza nafasi za kazi kwa vipindi vya Burudani Udaku (nafasi 4), Masuala ya Kijamii (nafasi 2). SIFA KUU ZA KUJIUNGA Makazi: awe Mkazi wa Dar es Salaam. Uzoefu: Awe tayari kufanya internship. Ithibati: lazima awe na vyeti vyao kuthibitisha sifa zake. Sifa Za Ziada: Uwe mtu anayejituma, anayefuatilia […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Pepsi Tanzania

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Pepsi Tanzania

NAFASI Za Kazi Pepsi Tanzania SBC Tanzania Limited (Pespi), ni Kampuni ambayo ndiyo mmtengenezaji na msambazaji wa vyenye Chapa ya Pespi nchini Tanzania. Kampuni hiyo inayojulikana kwa kujitolea kwa ubora na jukumu lake katika uchumi wa Tanzania, yenye maono ya kuwa moja ya makampuni yanayopendwa zaidi nchini. SBC Tanzania Limited ilianzishwa tarehe 5 Aprili 2001 […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Namtumbo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 03 KAZI NA MAJUKUMU […]

Continue Reading »