nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi VETA Tanzania

Filed in Ajira by on 16.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi VETA Tanzania

NAFASI Za Kazi VETA Tanzania ✅VOCATIONAL TUTOR II (MULTIMEDIA AND FILM TECHNOLOGY) – 2 POSTS DUTIES AND RESPONSIBILITIES To prepare training plans and scheme of works. To guide trainees in preparing teaching tools and requirements needed to facilitate practical training of vocational trainees in order to widen understanding. To deliver instructions/teaching through use of various […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs Yanga 16 September 2025

Filed in Michezo by on 16.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba vs Yanga 16 September 2025

KIKOSI Cha Simba vs Yanga 16 September 2025 Kikosi Cha Simba SC kinachoanza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Young Africans Leo Jumanne tarehe 16 September 2025. Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 11:00 Jioni. Hiki hapa Kikosi rasmi Cha Simba SC dhidi ya Young Africans […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025

Filed in Michezo by on 16.09.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025 Kikosi Cha Yanga SC vs Simba SC mchezo wa Ngao ya Jamii Leo Jumanne tarehe 16 September 2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 11:00 jioni. Hiki hapa Kikosi rasmi Cha Yanga SC vs Simba SC 16 September 2025. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Unitrans Tanzania Limited

Filed in Ajira by on 16.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Unitrans Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi Unitrans Tanzania Limited Kampuni ya Unitrans Tanzania inakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa na ujuzi stahiki kujaza nafasi zifuatazo; Dereva wa lori – Nafasi 70 Eneo la kazi: Kilombero Aina ya mkataba: Msimu MAJUKUMU Kufanyakazi ya kusomba miwa kutoka mashambani kwenda viwandani. Na majukumu mengine yanayoendana na taaluma ya udereva. SIFA […]

Continue Reading »

NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

Filed in Ajira by on 16.09.2025 0 Comments
NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings Kampuni ya Hope Holdings ambayo inaendesha Biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki inatangaza nafasi za ajira kwa Vijana 300 […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 16.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025 Klabu ya Singida Black Stars imetwaa ubingwa wa Kombe la Kagame 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Nyota wa Singida Black Stars, alikuwa kiungo Mzambia Clatous Chama […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbulu District Council

Filed in Ajira by on 15.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbulu District Council

NAFASI Za Kazi Mbulu District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Alliance of Bioversity International Tanzania

Filed in Ajira by on 15.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Alliance of Bioversity International Tanzania

NAFASI Za Kazi Alliance of Bioversity International Tanzania Alliance of Bioversity International ni Kituo cha Kimataifa cha Kilimo cha Kitropiki (CIAT) (ABC) ambacho hutoa masuluhisho yanayotegemea utafiti ambayo yanatumia bayoanuwai ya kilimo na kubadilisha mifumo ya chakula kwa uendelevu ili kuboresha maisha ya watu. Suluhu za Muungano zinashughulikia majanga ya kimataifa ya utapiamlo, mabadiliko ya […]

Continue Reading »

ARAJIGA apewa Yanga vs Simba 16 September 2025

Filed in Ajira by on 15.09.2025 0 Comments
ARAJIGA apewa Yanga vs Simba 16 September 2025

ARAJIGA apewa Yanga vs Simba 16 September 2025 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga, kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakao wakutanisha Yanga dhidi ya Simba. Ofisa Habari wa TFF Clifford Ndimbo, amesema kuwa Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo huo, akisaidiwa na Mohammed Mkono, atakayekuwa mwamuzi […]

Continue Reading »

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

Filed in Habari by on 15.09.2025 0 Comments
LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemuengua mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina. Taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Septemba 15,2025, iliyosianiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhani Kailima imesema jina lake limeondolewa kutokana na pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. […]

Continue Reading »