Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumanne 22 July 2025

Filed in Magazetini Leo by on 22.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 22 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 22 July 2025 Ndege ya mafunzo ya Jeshi la Anga la Bangladesh aina ya F-7 imeanguka ghafla katika eneo la shule na chuo cha Milestone School and College leo mchana na kusababisha vifo vya watu 19 hadi sasa. Taarifa rasmi kutoka kwa maafisa wa jeshi na huduma za dharura zinaonyesha kuwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

Filed in Magazetini Leo by on 21.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025 Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki Dunia baada ya Meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia July 20,2025. Video liyosamba kwenye Mitandao ya Kijamii inaonesha baadhi ya Abiria wakiendelea kuruka kutoka kwenye meli inayoungua na kurukia kwenye maji […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 18 July 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 18 July 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 18 July 2025 Serikali imetangaza kuwa moja ya shabaha kuu katika Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa Tanzania inafikia pato la Taifa lenye thamani ya Dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, pamoja na kuongeza wastani wa pato la mtu mmoja kufikia Dola 7,000. Akizungumza katika uzinduzi wa dira hiyo Alhamisi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 14 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 14.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 14 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 14 July 2025 Balozi wa Tanzania nchini Cuba na aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Hesron Polepole ametangaza kujiuzulu Ubalozi July 13 2025. Katika barua yake ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambayo ameichapisha katika kurasa za mitandao yake ya Kijamii Julai 13, 2025 Polepole […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 13.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025 Kiungo wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/2025, akiwapiku Clatous Chama na Kibu Denis wa Simba. Pacomne aling’ara kwenye mechi tatu za mwisho za msimu, akiiongoza kwa kuifungia mabao matatu na kutoa pasi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 12 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 12.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 12 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 12 July 2025 ‎ Rais wa heshima na mwekezaji wa Simba SC Mohamed Dewji, amevunja ukimya wa muda mrefu na kuweka hadharani mipango ya kuelekea msimu ujao wa mashindano. ‎ ‎Mo Dewji ametumia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii kuwafikishia ujumbe mashabiki na wanachama wa Simba, ambao wamekosa furaha ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 11 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 11.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 11 July 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 11 July 2025 Serikali imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Programu Maalum ya Ujuzi kwa Maendeleo ya Ujasiriamali na Ajira kwa Vijana (SEED), inayolenga kuwaongezea vijana wa Kitanzania Maarifa na Ujuzi wa kujiajiri, pamoja na kuwasaidia mitaji ya kuanzisha na kuendeleza biashara zao wenyewe. SEED inatekelezwa kwa pamoja kati ya NMB […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 10 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 10.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 10 July 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 10 July 2025 Watu wawili waliokuwa wakimiliki kiwanda bubu kilichopo Sinza, Dar es Salaam, wamekamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kutengeneza biskuti zilizochanganywa na bangi na kuzisambaza katika mikoa mbalimbali nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, amethibitisha kukamatwa kwa kiwanda hicho na kuonya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 09 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 09.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 09 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 09 July 2025 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Dira ya Taifa ya 2050 Alhamisi hii ya tarehe 17 Julai 2025, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema hayo Jumanne ya Julai 8, 2025 katika mkutano wake […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 08 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 08.07.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 08 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 08 July 2025

Continue Reading »