Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 31.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025 Timu ya taifa ya Morocco imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa CHAN 2024 baada ya kuifunga Madagascar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani nchini Kenya. Hili linakuwa taji la tatu kwa Morocco linaloifanya iwe timu iliyotwaa mara nyingi ubingwa wa CHAN, ambapo awali […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 30 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 30.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 30 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 30 August 2025 Ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 2025/2026 imetangazwa rasmi, ambapo mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia burudani ya hali ya juu kuanzia Septemba 17, 2025. Taarifa hii ambayo imetolewa August 29, na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), katika raundi ya kwanza, KMC […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 29 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 29.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 29 August 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 29 August 2025 Mahakama ya Mkoa wa Bioko nchini Equatorial Guinea imemhukumu Baltasar Ebang Engonga, Mkuu wa zamani wa Shirika la Taifa la Upelelezi wa Masuala ya Kifedha (NFIA), kifungo cha miaka Minane Jela kwa kosa la ubadhirifu wa Fedha za Umma na kujipatia mali kinyume cha sheria. Engonga, pamoja na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 28 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 28.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 28 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 28 August 2025 Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini wosia. Kwa mujibu wa ripoti […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 27 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 27.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 27 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 27 August 2025 Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo ambapo ACT imesema itafungua kesi Mahakama Kuu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 26 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 26.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 26 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 26 August 2025 Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Martin Shao amefariki Dunia Jumatatu ya Agosti 25, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya kaskazini (KCMC), Mjini Moshi. Dk Shao amehudumu kama Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini kuanzia […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 25.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imewateua miongoni mwa waliokuwa wabunge 19 wa Chadema kuwania ubunge. Wabunge hao baada ya Bunge la 12 kuvunjwa walihamia CCM na kujitosa kwenye majimbo. Walioteuliwa na majimbo yao ni Esther Matiko (Tarime Mjini), Ester Bulaya (Bunda Mjini), Hawa Mwaifunga (Tabora Mjini), […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 24 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 24.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 24 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 24 August 2025 Wanandoa wanaodaiwa kuwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameuawa katika Kijiji cha Chafuma, wilayani Momba. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi Agosti 23, 2025 tukio la mauaji lilitokea Kata ya Kapele iliyo Tarafa ya Ndalambo, juzi Agosti 22, saa nane […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 23.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025 Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imekuwa timu ya pili wenyeji wa michuano ya CHAN 2024 kuaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Morocco. Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umeifanya Stars kuungana na Kenya iliyoondoshwa na Madagascar […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 12 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 12.08.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 12 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 12 August 2025 Klabu ya Yanga na kampuni ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa wamesaini mkataba mpya wenye thamani ya Sh21.7 bilioni. Ilikuwa Julai 27,2022 ambapo pande hizo mbili ziliingia mkataba wa miaka mitatu, uliokuwa na thamani ya Sh12.3 bilioni, uliomalizika mwisho wa msimu uliopita. Mkataba huo mpya ambao umesainiwa tarehe […]

Continue Reading »