JINSI ya Kurejesha Mkopo Kupitia Mfumo wa OLAMS

JINSI ya Kurejesha Mkopo Kupitia Mfumo wa OLAMS
JINSI ya Kurejesha Mkopo Kupitia Mfumo wa OLAMS
Kulipa Mkopo wako ingia kwenye kiunganishi:
- https://olas.heslb.go.tz/olams/pre-applicant
- Chagua Loan beneficiaries’
- Tengeneza Akaunti
- Chagua aina ya kujisajili mfano. ‘Loan repayment’
- Jaza namba yako sahihi ya mtihani wa Kidato cha nne (Form Four Index Number).
- Jisajili.
- Jaza anuani ya barua pepe.
- Jaza namba yako ya simu Tengeneza nywila (password) Bofya ‘register’.
REJEA KWENYE MFUMO KWA KUBOFYA ‘LOG IN AS REGISTERED USER’
- Fanya malipo.
- Jaza namba yako sahihi ya mtihani wa kidato cha nne (Form 4 Index number).
- Ingiza nywila (password)
- Chagua ‘LIPA’
- Bofya na ujaze taarifa zako za ajira.
- Chagua aina ya ajira; umma/binafsi/ umejiajiri (public/private/self)
- Chagua mkoa
- Jaza Check Namba yako (ikiwa ni mtumishi wa umma)
- Chagua mwajiri wako.
- Jaza namba yako ya simu.
- Jaza anuani ya barua pepe.
- Hifadhi (Save) taarifa zako za ajira.
JINSI YA KUPATA TAARIFA YA DENI LAKO (CUSTOMER STATEMENT)
- Bofya ‘customer statement’.
Taarifa ya deni lako itaonekana hapo.
JINSI YA KUPATA TAARIFA YA DENI LAKO (CUSTOMER STATEMENT)
- Bofya ‘customer statement’.
- Taarifa ya deni lako itaonekana hapo.
IWAPO UNATAKA KULIPA DENI
- Bofya ‘Make repayment’
- Jaza kiasi cha fedha unachotaka kulipa.
- Jaza namba yako ya simu.
Jaza anuani yako ya barua pepe. - Tumia namba ya kumbukumbu ya malipo uliyopatiwa ili kufanya malipo kwa njia ya Benki au simu ya mkononi
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
Simu: 0736 66 55 33, WhatsApp: 0739 66 55 33 au
Barua pepe: info@heslb.go.tz
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni Bure kabisa, Jiunge HAPA BURE.
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA NA GROUP NO 5 HAPA.

Tags: JINSI ya Kurejesha Mkopo Kupitia Mfumo wa OLAMS, JINSI ya Kurejesha Mkopo Kupitia Mfumo wa olas.heslb.go.tz/olams