NAFASI Za Kazi HR World Limited

NAFASI Za Kazi HR World Limited
NAFASI Za Kazi HR World Limited
HR World Limited, inayofanya kazi nchini Tanzania, ni mbinu ya Usimamizi wa Rasilimali Watu (HRM) ambayo hutoa ufumbuzi mbalimbali wa Utumishi unaozingatia matokeo ya biashara.
Shirika la HR World linatoa huduma za ushauri na mafunzo, kwa msisitizo maalum katika kutoa matokeo kwa biashara mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mashirika ya umma katika sekta mbalimbali nchini Tanzania.
HR World inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira.
Kuona Ajira na Jinsi ya Kutuma tafadhali Donwload PDF ya Tangazo hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka HR World Limited Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA?DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni Bure kabisa, Jiunge HAPA BURE.
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA NA GROUP NO 5 HAPA.

Naomb kaz nipo Morogoro mjini
Habari naitwa halima nipo zanzibar ni muhitimu wa course ya procurement and supply nmefika adi diploma ila ninachet cha certificate kwa 7bu skuwa na uwezo wa kifedha so nliacha kusoma nikiwa mwaka wa mwisho semester ya mwsh pia, naomba kma kuna nafs naweza kupta ya kazi kulingna na elmu yangu😪