JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal
JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal
Jinsi ya kutuma barua pepe (email) kwaajili ya kuwasilisha Changamoto, tuma taarifa hizi.
- Majina yako kamili matatu yanayosomeka kwenye NIDA
- Namba yako ya NIDA.
- Maelezo mafupi kuhusu changamoto yako.
- Changamoto ya kuomba kazi wasilisha nafasi unayoshindwa kuomba ukitaja na muajiri kama ilivyoandikwa
Tuma barua pepe yako kwenda ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.