nijuze's Latest Posts

SIMBA yaachana na Kocha Fadlu Davids

Filed in Michezo by on 22.09.2025 0 Comments
SIMBA yaachana na Kocha Fadlu Davids

SIMBA yaachana na Kocha Fadlu Davids Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Mkuu Fadlu Davids baada ya kuhudumu na timu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Makubaliano haya ni matakwa binafsi ya kocha Fadlu kwa uongozi wa klabu hiyo. Klabu ya Simba inamshukuru Kocha Fadlu kwa kuiongoza Simba kufika fainali […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Busokelo District Council

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Busokelo District Council

NAFASI Za Kazi Busokelo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo anatangaza nafasi 20 za mgambo wa mapato kwaajili ya kukusanya mapato ndani ya Halmashauri. SIFA ZA MWOMBAJI: Awe raia wa Tanzania. Awe na umri wa kuanzia miaka 25 hadi 45. Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne. Aliyepata mafunzo ya Mgambo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TEMESA Tanzania

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TEMESA Tanzania

NAFASI Za Kazi TEMESA Tanzania Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa zinazofaa kujaza nafasi kumi na tatu (13) kama zilizoanishwa hapa chini. Nafasi Mpya 13 Za Kazi Kutoka TEMESA. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI 85 Za Kazi China Petroleum Pipeline Engineering Co.Ltd. (CPP)

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI 85 Za Kazi China Petroleum Pipeline Engineering Co.Ltd. (CPP)

NAFASI 85 Za Kazi China Petroleum Pipeline Engineering Co.Ltd. (CPP) China Petroleum Pipeline Engineering Co.Ltd. (CPP) is excited to invite passionate and driven fresh graduates to apply for its Graduate Trainee Program 2025. This one-year program offers hands-on experience, mentorship, and exposure to critical operations in the oil and gas sector. No prior work experience […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TANROADS Tanzania

Filed in Ajira by on 22.09.2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi TANROADS Tanzania

NAFASI Za Kazi TANROADS Tanzania Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) umekabidhiwa jukumu la Matengenezo na Uendelezaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Mikoa Tanzania Bara. Pia TANROADS inawajibika katika kufanya Operesheni za Udhibiti wa Mzigo wa Axle kwa kutumia mizani ya uzani. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro kwa niaba ya Mtendaji Mkuu TANROADS anatafuta […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TANROADS Shinyanga

Filed in Ajira by on 22.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TANROADS Shinyanga

NAFASI Za Kazi TANROADS Shinyanga The Regional Manager of TANROADS Shinyanga, on behalf of the Chief Executive, is seeking qualified and competent Tanzanians to fill vacant posts for the project titled “Upgrading of Kahama-Bulyanh esperaba Junction-Kakola (73KM) Road to Bitumen Standard” under CONTRACT No. TRD/HQ/1057/2023/24. The agency aims to recruit staff for the following positions […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 22 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 22.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 22 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 22 September 2025 Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amekiri kulishwa sumu mwaka 2024 hali iliyomsababishia kulazwa Hospitalini na kutoonekana hadharani ambapo amesema kama isingekuwa Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yake huenda angekuwa ameshafariki. Makonda amefichua siri hiyo Jumapili, ya September 21, 2025, wakati […]

Continue Reading »

TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

Filed in Ajira by on 21.09.2025 0 Comments
TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025 Jeshi la Magereza linapenda kuujulisha umma kwamba tarehe 15 Agosti, 2025 lilitangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye sifa. Maombi yote yalipaswa kuombwa kupitia mfumo wa ajira wa magereza www.ajira.magereza.go.tz ambapo mwisho wa kuwasilisha maombi ulikuwa tarehe 29 Agosti, 2025. Hivi karibuni kumeibuka baadhi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Serengeti Care Limited

Filed in Ajira by on 21.09.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Serengeti Care Limited

NAFASI Za Kazi Serengeti Care Limited ✅Position: Tender Officer Reports To: Head of Procurement / CEO Location: Magomeni Mapipa Employment Type: Full-Time Job Purpose The Tender Officer will be responsible for managing the tendering process from the initial stage of identifying opportunities, preparing tender documents, ensuring compliance with legal and organizational requirements, and submitting competitive bids. The […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 21 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 21.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 21 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 21 September 2025 UJENZI WA MELI MPYA YA MV NEW MWANZA WAKAMILIKA SAFARI YA MWANZA – BUKOBA KUFANYIKA KWA MARA YA KWANZA Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inapenda kuwataarifu wananchi na wadau wote wa usafiri kwa njia ya maji kuwa mradi wa ujenzi wa meli mpya ya abiria na mizigo katika […]

Continue Reading »