Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 10.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025 Kampuni ya Mati Super Brands ltd yenye Makao yake Makuu Babati Mkoani Manyara, kupitia Taasisi yake isiyo ya kiserikali ya Mati foundation, imeanza rasmi mradi wa kukabidhi pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa Watu wenye ulemavu Nchini Tanzania ili kuwasaidia kufanya shughuli zao za […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 09.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 09 September 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 08.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 08 September 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kamati ndogo (standing committees) mpya zitakazofanya kazi kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Septemba 7, 2025, na TFF, kamati hizo ni Kamati ya Fedha na Mipango pamoja na Kamati ya Mashindano. Katika Kamati […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 07 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 07.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 07 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 07 September 2025 TUKIO LA KUPATWA KWA MWEZI TAREHE 7 SEPTEMBA 2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya tukio la kupatwa kwa Mwezi linalotarajiwa kutokea tarehe 7 Septemba 2025. Hali ya kupatwa kwa Mwezi ni tukio linalotokea wakati Dunia inapita kati ya Jua na Mwezi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 06 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 06.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 06 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 06 September 2025 Serikali ya Rwanda kwa kushirikiana na Kampuni ya Ujenzi ya China ya Road and Bridge Corporation (CRBC) wamezindua Ndege taksi ya umeme inayojiendesha yenyewe ikiwa ni ya kwanza Barani Afrika ambayo imefanya safari yake ya kwanza Septemba 4, 2025 Nchini humo. Maonyesho ya moja kwa moja ya ndege […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 05.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025 Msanii wa nyimbo za Injili kutoka nchini Rwanda, Gloriose Musabyimana maarufu Gogo (36) amefariki Dunia Jijini Kampala nchini Uganda baada ya kuugua kwa muda mfupi Wimbo wa ‘Every Day, I Need Blood of Jesus’ ulimpa umaarufu mkubwa hasa kwenye mtandao wa Tiktok, ambapo Mashabiki walitumia wimbo huo kufanya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 04.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025 Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ngarenaro, Mussa Luambano (50) na mlinzi wa shule hiyo, Olais Mollel (33), wakituhumiwa kumfanyia ukatili mwanafunzi wa darasa la saba. Akitoa taarifa hiyo Septemba 3, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema watuhumiwa wanadaiwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 03 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 03.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 03 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 03 September 2025 Serikali ya Kijeshi ya Taifa la Burkina Faso imepitisha kwa kauli moja sheria inayopiga marufuku mapenzi ya jinsia moja ikiwa ni sehemu ya mageuzi ya sheria za Familia na Uraia ambapo sheria hii mpya iliyopitishwa Septemba 1 2025 na Bunge la mpito lenye Wajumbe 71 wasiochaguliwa, inatoa adhabu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 September 2025  Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetangaza msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha haramu watakaosalimisha silaha kwa hiyari kuanzia leo Septemba 1, 2025 hadi Oktoba 31, 2025. Msamaha huo umetolewa chini ya mamlaka ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya mwaka 2015, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025 Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko eneo la Kichemuchemu, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jumapili Agosti 31, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase amesema tukio hilo limetokea saa moja asubuhi. […]

Continue Reading »